Fyengeresya
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 751
- 348
Ni Makonda ni mhamasishaji wa vijana wahuni, ni kijana asiyejua anaenda wapi, ni kijana ambaye uwezo wake wa kufikiri umezidi kupungua siku hadi siku, ni kijana aliyejivika uwakilishi wa vijana wakati hakuna siku alipopigiwa kura kufanya hivyo. Kwa ujumla ni kijana wa kufikirika tu.Hivi Makonda ni nani hasa?
umesahau na hii pic ya makonda kumpiga warioba
makonda amejibu uzushi unaosambazwa mitandao tangu jana kuwa kampiga mzee wariyoba
mimi nilienda kama mtanzania mwingine yeyote wa kawaida ila vijana waliponyoosha mabango walitokea watu waliyotaka jumdhuru mlemavu wa macho nilitokaza kumsaidia baada ya hapo nilimsaidia pia mzee wariyoba zipo picha mtaziona
ukumbi wa ubungo plaza ni ukumbi wa kisasa sana una camera pande zote hilitukio liangaliwe vizuri mtaona kama nimefanya hilo tukio hilo
chanzo ni radio free Afrika
Warioba anapaswa kusoma alama za nyakati
vijana hawa wametia aibu sana Tanzania, eti ndio vijana wasomi? msomi unatumika kwa maslahi ya mtu mwinge tena ya kipumbavu namana hii? usomi maana yake ni pamoja na kustaarabika sasa hawa vijana wasomi mbona wanashindwa ustaarabu na wale ambao hwajaenda shule? Kuheshimu wazee haihitaji kwenda shule.
Hiyo laana ya kumpiga chupa mzee warioba haitakuachaWarioba hajapigwa. Huo ulikuwa ni uzushi wa vijana walioandaliwa kufanya fujo ili ionekane kuwa CCM ndo wamefanya fujo
Hata hii picha haioneshi kama makonda ana mpiga warioba au ana mmwagia maji kama ulivyo ripoti jana! Tafuta picha ya makonda akimumwagia maji Warioba uweke hapa
Warioba ni mchochezi
makonda amejibu uzushi unaosambazwa mitandao tangu jana kuwa kampiga mzee wariyoba
mimi nilienda kama mtanzania mwingine yeyote wa kawaida ila vijana waliponyoosha mabango walitokea watu waliyotaka jumdhuru mlemavu wa macho nilitokaza kumsaidia baada ya hapo nilimsaidia pia mzee wariyoba zipo picha mtaziona
ukumbi wa ubungo plaza ni ukumbi wa kisasa sana una camera pande zote hilitukio liangaliwe vizuri mtaona kama nimefanya hilo tukio hilo
chanzo ni radio free Afrika
maaaaweeeeeeeee!Kuna kitu kinapikwa, tunafichwa na hakiko wazi.
Team ya uchafuzi ya chadema iko kazini.
Kama kweli MAKONDA kafanya haya, basi hukumu ya mungu dhidi yake haiepukiki. Ila kama ndio ileile style ya chadema ya kuwachafua vijana wana mapinduzi,,, basi MAKONDA atatoka katika hili kama shujaa.
Nawakumbusha tuuu.
YU WAPI YULE ADUI MKUU WA CHADEMA MWINGULU NCHEMBA)
YU WAPI YULE ADUI WA KUDUMU WA CHAMA(ZZK)
YU WAPI ADUI MWINGINE WA CHADEMA ((JAKAYA MRISHO KIKWETE)
nionavyo mimi, yule aliye adui mbele ya chadema ni TUNU ya taifa letu. Tusubiri, hata makonda itathibitisha hili.