Warioba anapaswa kusoma alama za nyakati
Hili nalo neno. CCM lazima iondoke madarakani tuko pamoja.hawa vijana hawajui wanachokifanya wala hawatambui, wamefundishwa kufanya vurugu.......tunataka elimu ya katiba mpya, leo mnaleta vurugu ili iweje!!!! wachukuliwe hatua kali sana, jeshi la polisi tunasikilizia nini mtafanya......
Sina tatizo na midahalo lakini ninatatizo na yaliyojificha nyuma yake. Mzee Warioba kwa nafasi yake alitakiwa kukaa mbali nayo na sisi pia tulipaswa kuipuuza na kuwapuuza wanaoiandaa. Hii midahalo ina watu nyuma wenye malengo tofauti na tunavyoaminishwa, hao watu wanatumia nguvu kubwa ya pesa ili kutugawa. Wana watu wamewapandikiza kwenye Magazeti, Vyama vya siasa vyote ikiwemo na Ccm, Serikali, NGO na Nk. Haimaanishi kuwa katika hizo sehemu hakuna ambao wamebaki na uzalendo kwa nchi yao, wapo japokuwa wamezidiwa na uzuzu wetu sisi wananchi kushindwa kuukataa ujinga huu.
Kwani hamujui Makonda katumwa na vigogo wa CCM kufanya vurugu? ni kibaraka huyu yeye ameishachukua chake mapema. Nasikia uko mtaani kwa kitendo kile tu cha kuleta vurugu ana mtonyo wa kutosha.Tangulizi akili na siyo ushabiki. Ukiangalia hiyo picha inaonekana kuna mtu anajitahidi kuzuia mikono ya Makonda isimfikie Warioba. Makonda alimfuata Warioba kwaajili ya nini? Mikono ya Makonda ilikuwa inaelekezwa kwa Warioba ili afanye nini? Na nayemzuia Makonda kwa nini alikuwa akimzuia kama Makonda alionekana kuwa na nia njema?
Huyu makonda inaonekana ni rubbish. Ni takataka hii haistahili hata kuwepo katika jamii achilia mbali kuwa viongozi. Hao walimchagua labda wanafanana naye.
Sina tatizo na midahalo lakini ninatatizo na yaliyojificha nyuma yake. Mzee Warioba kwa nafasi yake alitakiwa kukaa mbali nayo na sisi pia tulipaswa kuipuuza na kuwapuuza wanaoiandaa. Hii midahalo ina watu nyuma wenye malengo tofauti na tunavyoaminishwa, hao watu wanatumia nguvu kubwa ya pesa ili kutugawa. Wana watu wamewapandikiza kwenye Magazeti, Vyama vya siasa vyote ikiwemo na Ccm, Serikali, NGO na Nk. Haimaanishi kuwa katika hizo sehemu hakuna ambao wamebaki na uzalendo kwa nchi yao, wapo japokuwa wamezidiwa na uzuzu wetu sisi wananchi kushindwa kuukataa ujinga huu.
makonda ni kijana mwanamapinduz hehehe wat a jokeKuna kitu kinapikwa, tunafichwa na hakiko wazi.
Team ya uchafuzi ya chadema iko kazini.
Kama kweli MAKONDA kafanya haya, basi hukumu ya mungu dhidi yake haiepukiki. Ila kama ndio ileile style ya chadema ya kuwachafua vijana wana mapinduzi,,, basi MAKONDA atatoka katika hili kama shujaa.
Nawakumbusha tuuu.
YU WAPI YULE ADUI MKUU WA CHADEMA MWINGULU NCHEMBA)
YU WAPI YULE ADUI WA KUDUMU WA CHAMA(ZZK)
YU WAPI ADUI MWINGINE WA CHADEMA ((JAKAYA MRISHO KIKWETE)
nionavyo mimi, yule aliye adui mbele ya chadema ni TUNU ya taifa letu. Tusubiri, hata makonda itathibitisha hili.
Warioba ni mchochezi
mchoezi atakuwa mzee sixhata makaburu walimuita mandela mchochezi kwasababu alikuwa anapigania haki ya walio wengi!! Ccm ndio mtakaoanzisha machafuko nchini mwetu kwa uroho wa madaraka ya kutawala nchi kimabavu; someni alama za nyakati angalieni yanayotokea bukina faso hivi sasa. Huwezi kuwanyima wananchi haki yao pengine mkijitahidi sana mtaichelewesha tu lakini haki ya wananchi lazima ipatikane hata kwa sacrifice!! Kilichitokea wakati wa wamdahalo pale ubungo ni ishara tu kuwa nchi hii haiko salama tena na huu ndio mwanzo tu wa mapambano.
Huyu mzee anajidhalilisha mno, tume imeshamaliza kazi yake, kihere here cha nini??
Acha unafiki, mtu mkweli siku zote anaangalia ukweli na sio unatoka kwa nani, unachopaswa kukubali ni kuwa anachoongea warioba ni ukweli kwa katiba iliyopendekezwa na Sitta ambayo ina madhaifu makubwa. Sasa unaanza kusema eti walioko nyuma ya warioba wakati tatizo liko. Huwezi kukwepa tatizo alafu unataka utatuzi, hao watu wametumwa na ccm kufanya fujo wakati wananchi wanataka kujua ukweli tofauti ya rasimu ya warioba na hiyo ya bunge la katiba.
Mnahangaika sana, mbona mnapenda usiri sana hamtaki watu wajadili kwa nini? Mbona rasimu ya tume ilijadiliwa tena na matusi mkatukana hii ya kwenu inajadiliwa kwa hoja hamtaki mnataka kufunga watu midomo. Wasaka tonge mnashida sana.
Kuna kitu kinapikwa, tunafichwa na hakiko wazi.
Team ya uchafuzi ya chadema iko kazini.
Kama kweli MAKONDA kafanya haya, basi hukumu ya mungu dhidi yake haiepukiki. Ila kama ndio ileile style ya chadema ya kuwachafua vijana wana mapinduzi,,, basi MAKONDA atatoka katika hili kama shujaa.
Nawakumbusha tuuu.
YU WAPI YULE ADUI MKUU WA CHADEMA MWINGULU NCHEMBA)
YU WAPI YULE ADUI WA KUDUMU WA CHAMA(ZZK)
YU WAPI ADUI MWINGINE WA CHADEMA ((JAKAYA MRISHO KIKWETE)
nionavyo mimi, yule aliye adui mbele ya chadema ni TUNU ya taifa letu. Tusubiri, hata makonda itathibitisha hili.
hahahhaha du watu wanafagilia vyeo WAKATI MI NAUA WAPO WATU KWENYE FOLENI WANASUBIRI KUPEWA UKUU WA WILAYA.maaaaweeeeeeeee!
hapa lazima uteuliwe kuwa mkuu wa wilaya, hutaambulia buku 7 tu