Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Sina tatizo na midahalo lakini ninatatizo na yaliyojificha nyuma yake. Mzee Warioba kwa nafasi yake alitakiwa kukaa mbali nayo na sisi pia tulipaswa kuipuuza na kuwapuuza wanaoiandaa. Hii midahalo ina watu nyuma wenye malengo tofauti na tunavyoaminishwa, hao watu wanatumia nguvu kubwa ya pesa ili kutugawa. Wana watu wamewapandikiza kwenye Magazeti, Vyama vya siasa vyote ikiwemo na Ccm, Serikali, NGO na Nk. Haimaanishi kuwa katika hizo sehemu hakuna ambao wamebaki na uzalendo kwa nchi yao, wapo japokuwa wamezidiwa na uzuzu wetu sisi wananchi kushindwa kuukataa ujinga huu.
 
Tatizo la wasaka tonge kama nyie mko short sited, Warioba na tume yake wameangalia mbali zaidi, hao mnaowaita viongozi kwa sasa sio muda mrefu hawatakuwepo kwenye hizo nafasi matokeo yake wataacha Katiba ambayo itakuja kuandikwa tena upya. Na wakishaondoka kwenye hizo nafasi ndio utawasikia wanaanza kulalamika kuwa katiba inashida ila kwa sasa wanaona business as ussual.

Warioba anapaswa kusoma alama za nyakati
 
hawa vijana hawajui wanachokifanya wala hawatambui, wamefundishwa kufanya vurugu.......tunataka elimu ya katiba mpya, leo mnaleta vurugu ili iweje!!!! wachukuliwe hatua kali sana, jeshi la polisi tunasikilizia nini mtafanya......
Hili nalo neno. CCM lazima iondoke madarakani tuko pamoja.
 
Mnahangaika sana, mbona mnapenda usiri sana hamtaki watu wajadili kwa nini? Mbona rasimu ya tume ilijadiliwa tena na matusi mkatukana hii ya kwenu inajadiliwa kwa hoja hamtaki mnataka kufunga watu midomo. Wasaka tonge mnashida sana.

Sina tatizo na midahalo lakini ninatatizo na yaliyojificha nyuma yake. Mzee Warioba kwa nafasi yake alitakiwa kukaa mbali nayo na sisi pia tulipaswa kuipuuza na kuwapuuza wanaoiandaa. Hii midahalo ina watu nyuma wenye malengo tofauti na tunavyoaminishwa, hao watu wanatumia nguvu kubwa ya pesa ili kutugawa. Wana watu wamewapandikiza kwenye Magazeti, Vyama vya siasa vyote ikiwemo na Ccm, Serikali, NGO na Nk. Haimaanishi kuwa katika hizo sehemu hakuna ambao wamebaki na uzalendo kwa nchi yao, wapo japokuwa wamezidiwa na uzuzu wetu sisi wananchi kushindwa kuukataa ujinga huu.
 
Tangulizi akili na siyo ushabiki. Ukiangalia hiyo picha inaonekana kuna mtu anajitahidi kuzuia mikono ya Makonda isimfikie Warioba. Makonda alimfuata Warioba kwaajili ya nini? Mikono ya Makonda ilikuwa inaelekezwa kwa Warioba ili afanye nini? Na nayemzuia Makonda kwa nini alikuwa akimzuia kama Makonda alionekana kuwa na nia njema?

Huyu makonda inaonekana ni rubbish. Ni takataka hii haistahili hata kuwepo katika jamii achilia mbali kuwa viongozi. Hao walimchagua labda wanafanana naye.
Kwani hamujui Makonda katumwa na vigogo wa CCM kufanya vurugu? ni kibaraka huyu yeye ameishachukua chake mapema. Nasikia uko mtaani kwa kitendo kile tu cha kuleta vurugu ana mtonyo wa kutosha.
 
Acha unafiki, mtu mkweli siku zote anaangalia ukweli na sio unatoka kwa nani, unachopaswa kukubali ni kuwa anachoongea warioba ni ukweli kwa katiba iliyopendekezwa na Sitta ambayo ina madhaifu makubwa. Sasa unaanza kusema eti walioko nyuma ya warioba wakati tatizo liko. Huwezi kukwepa tatizo alafu unataka utatuzi, hao watu wametumwa na ccm kufanya fujo wakati wananchi wanataka kujua ukweli tofauti ya rasimu ya warioba na hiyo ya bunge la katiba.

Sina tatizo na midahalo lakini ninatatizo na yaliyojificha nyuma yake. Mzee Warioba kwa nafasi yake alitakiwa kukaa mbali nayo na sisi pia tulipaswa kuipuuza na kuwapuuza wanaoiandaa. Hii midahalo ina watu nyuma wenye malengo tofauti na tunavyoaminishwa, hao watu wanatumia nguvu kubwa ya pesa ili kutugawa. Wana watu wamewapandikiza kwenye Magazeti, Vyama vya siasa vyote ikiwemo na Ccm, Serikali, NGO na Nk. Haimaanishi kuwa katika hizo sehemu hakuna ambao wamebaki na uzalendo kwa nchi yao, wapo japokuwa wamezidiwa na uzuzu wetu sisi wananchi kushindwa kuukataa ujinga huu.
 
Kuna kitu kinapikwa, tunafichwa na hakiko wazi.
Team ya uchafuzi ya chadema iko kazini.
Kama kweli MAKONDA kafanya haya, basi hukumu ya mungu dhidi yake haiepukiki. Ila kama ndio ileile style ya chadema ya kuwachafua vijana wana mapinduzi,,, basi MAKONDA atatoka katika hili kama shujaa.
Nawakumbusha tuuu.
YU WAPI YULE ADUI MKUU WA CHADEMA MWINGULU NCHEMBA)
YU WAPI YULE ADUI WA KUDUMU WA CHAMA(ZZK)
YU WAPI ADUI MWINGINE WA CHADEMA ((JAKAYA MRISHO KIKWETE)
nionavyo mimi, yule aliye adui mbele ya chadema ni TUNU ya taifa letu. Tusubiri, hata makonda itathibitisha hili.
makonda ni kijana mwanamapinduz hehehe wat a joke
 
Warioba ni mchochezi

Hata makaburu walimuita Mandela mchochezi kwasababu alikuwa anapigania haki ya walio wengi!! CCM ndio mtakaoanzisha machafuko nchini mwetu kwa uroho wa madaraka ya kutawala nchi kimabavu; someni alama za nyakati angalieni yanayotokea Bukina Faso hivi sasa.

Huwezi kuwanyima wananchi haki yao pengine mkijitahidi sana mtaichelewesha tu lakini haki ya wananchi lazima ipatikane hata kwa sacrifice!! Kilichitokea wakati wa wamdahalo pale Ubungo ni ishara tu kuwa nchi hii haiko salama tena na huu ndio mwanzo tu wa mapambano.
 
hata makaburu walimuita mandela mchochezi kwasababu alikuwa anapigania haki ya walio wengi!! Ccm ndio mtakaoanzisha machafuko nchini mwetu kwa uroho wa madaraka ya kutawala nchi kimabavu; someni alama za nyakati angalieni yanayotokea bukina faso hivi sasa. Huwezi kuwanyima wananchi haki yao pengine mkijitahidi sana mtaichelewesha tu lakini haki ya wananchi lazima ipatikane hata kwa sacrifice!! Kilichitokea wakati wa wamdahalo pale ubungo ni ishara tu kuwa nchi hii haiko salama tena na huu ndio mwanzo tu wa mapambano.
mchoezi atakuwa mzee six
 
Huyu mzee anajidhalilisha mno, tume imeshamaliza kazi yake, kihere here cha nini??

Kwani warioba alikwenda pale kama mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni? Tume ilishavunjwa, warioba anajua hilo na hata mimi na wewe tunajua hilo! Kwa sasa Warioba ana haki ya kujadili katiba pendekezwa kama raia mwingine yoyote yule au kama rais kikwete alivyokuwa na haki ya kuijadili na kuichambua rasimu ya katiba! Ule mdahalo uliofanyika pale ubungo plaza ulikuwa ni halali na taarifa zake zilitolewa mapema kwenye vyombo vya habari na hatukusikia vyombo vya usalama vikipiga marufuku mdahalo huo kama ambavyo wamekuwa wakipiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya upinzani! Suala ni kwamba mzee warioba alikuwa anawafumbua macho watanzania kuhusu katiba pendekezwa vs rasimu ya tume, jambo ambalo wahafidhina wa ccm hawataki watanzania wajue kwa kuwa linawasuta na linaweza kukwamisha hila zao ovu zilizo ndani ya katiba pendekezwa! Japo ni watanzania wachache wanaotambua hila hizo lakini ndio hao hao watakaotumika kuwaelisha wenzao wakati muafaka utakapofika wa kupiga kampeni dhidi ya katiba pendekezwa.
 
Acha unafiki, mtu mkweli siku zote anaangalia ukweli na sio unatoka kwa nani, unachopaswa kukubali ni kuwa anachoongea warioba ni ukweli kwa katiba iliyopendekezwa na Sitta ambayo ina madhaifu makubwa. Sasa unaanza kusema eti walioko nyuma ya warioba wakati tatizo liko. Huwezi kukwepa tatizo alafu unataka utatuzi, hao watu wametumwa na ccm kufanya fujo wakati wananchi wanataka kujua ukweli tofauti ya rasimu ya warioba na hiyo ya bunge la katiba.

Sina tatizo na yanayosemwa, nina matatizo na malengo ya wanaowatuma kusema.
 
Mnahangaika sana, mbona mnapenda usiri sana hamtaki watu wajadili kwa nini? Mbona rasimu ya tume ilijadiliwa tena na matusi mkatukana hii ya kwenu inajadiliwa kwa hoja hamtaki mnataka kufunga watu midomo. Wasaka tonge mnashida sana.

Hujanielewa soma tena ukiwa umetulia.
 
Kuna kitu kinapikwa, tunafichwa na hakiko wazi.
Team ya uchafuzi ya chadema iko kazini.
Kama kweli MAKONDA kafanya haya, basi hukumu ya mungu dhidi yake haiepukiki. Ila kama ndio ileile style ya chadema ya kuwachafua vijana wana mapinduzi,,, basi MAKONDA atatoka katika hili kama shujaa.
Nawakumbusha tuuu.
YU WAPI YULE ADUI MKUU WA CHADEMA MWINGULU NCHEMBA)
YU WAPI YULE ADUI WA KUDUMU WA CHAMA(ZZK)
YU WAPI ADUI MWINGINE WA CHADEMA ((JAKAYA MRISHO KIKWETE)
nionavyo mimi, yule aliye adui mbele ya chadema ni TUNU ya taifa letu. Tusubiri, hata makonda itathibitisha hili.

IVI WEWE unategemea maadui wa MAKONDA WAWE CHADEMA makonda anavyoyatukana makundi mengine ndani ya CCM unategemea adui yake AWE CDM anavyomsakama LOWASA kwenye mitandao bado unategemea adui yake atoke nje ya CCM au umeingia jana kutoka DUBAI, ZITO alijitakia mwenyewe MWIGULU lazima CDM wamchukie kwakuwa aliuwa watu kwenye mkutano wao we unategemea MUUAJI APENDWE na WAFIWA au BINADAMU YEYOTE asiyependa dhambi tene kubwa kama uuaji????? we vp!!!!
 
Back
Top Bottom