Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Huyu mzee anajidhalilisha mno, tume imeshamaliza kazi yake, kihere here cha nini??

Hata "jicho" mnaliwa sasa, kila kitu kutetea m@bw@na zenu,hata jambo kama hili ambalo lipo wazi hivi!!!!!
 
hao vijana walioleta fujo ni wasaliti na maadui wa taifa. kama serikali haitawachukulia hatua, si wanaonekana kwa sura, wanajulikana tunao huku mtaani, kwanini tusiwafuate hukuhuku mtaani tuwale kabang ili iwe fundisho kwa vijana wengine wanaotumiwa? nchi hii ya kipumbavu sana.

Jana nilikuja kwenye nimetumia garama kubwa toka mwanza angalau nichangie namim ila hawa vijana wa ccm wameniudhi sana tena sana nina hasira nao ile mbaya hususan Makonda. Nashauri mlioko jijini hebu watafuteni hao vijana muwafundishe adabu next time wasije tena ukumbini.
 
Hii sinema niliipenda na nilikasirika sana ITV walivyoikatisha na kutuwekea ya kidhungu ! Nchi hii inawenyewe bora kukaa kimya tu na kufuatilia tonge la watoto wako , Mzee wangu utakuja kufa kibudu bureeeee ! hapawezekaniki hapa hao unaowapigania wala hawajitambui , Tadhadhali Msijekutuburkinafaso bureee
 
hawa vijana hawajui wanachokifanya wala hawatambui, wamefundishwa kufanya vurugu.......tunataka elimu ya katiba mpya, leo mnaleta vurugu ili iweje!!!! wachukuliwe hatua kali sana, jeshi la polisi tunasikilizia nini mtafanya......
 
Kama huyu Makonda ni kweli alipanga mipango ya kuvuruga mdahalo, akafikia hatua mpaka ya kumpiga Mzee Warioba kwa mkono wake, laana kuu na iwe juu ya kichwa chake, na maiti yake inyofolewe na ndege kama ile ya Yuda Iskariote.
 
LOWASSA ana body Guards

SUMAYE ana body guards

MSUYA ana body guards

SALIM AHMED SALIM ana body guards

Kwa nini Warioba hakupewa bdyguards? na kama wapo wako chini ya nani na idara gani na bosi wao mkuu ni nanai na ripoti ya tukio zima itatolewa to the publics au?
 
umesahau na hii pic ya makonda kumpiga warioba


attachment.php


cc: MsemajiUkweli
 
Tatizo si kupigwa/kutopigwa kwa mzee Warioba. Kwangu mimi ni tatizo la kukosa uvumilivu wa kisiasa. Laiti wale vijana mamluki wasingenyanyua mabango yao na kumzomea mzee Warioba fujo zisingetokea;

kwani vijana wanaopinga Katiba Pendekezwa (KP) waliingilia kati na kuanza kurusiana maneno na hatimaye ngumi na viti na wale wanounga mkono KP. Kama kijana nalaani kwa nguvu zote tabia hii chafu ya vijana kutumika vibaya bila kujali madhara

Hebu tujikumbushe na yaliyotokea mwezi August katika mdahalo wa wanaUDASA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Bofya hii Link>>http://www.thecitizen.co.tz/News/-Udasa--CCM-infiltrated-our-symposium/-/1840392/2412280/-/108gy44z/-/index.html
 
umesahau na hii pic ya makonda kumpiga warioba

Hapa CCM wanamteteaje Makonda mbona ushahidi uko wazi.
CCM acheni kujidanganya kuwa Warioba asome alama za nyakati wakati nyie ndo mnatakiwa msome. Nina uhakika event kama hii ikijirudia ndo mtajua nani wa kusoma alama za nyakati kati ya CCM na Warioba
 
Back
Top Bottom