Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60


Unaambiwa hata hao manabii walikuwa weusi, ila kwa 7bu wazungu huwa wanapenda kuonekana the best hasa linapokuja suala la rangi inawezekana kabisa wakatoa vijisababu vyenye kuendelea kumfanya mwafrica aonekane ni inferior tu kwa vyovyote vile; hao inawezekana kabisa asiri Yao ni huko huko ila wameuliwa kimya kimya wee mpaka wamebaki hivo na ndo maana na wenyewe wakaua hicho kitoto
Huwa hushangai uwepo wa waindi weusi tii isipokuwa nywele?
 
wameuliwa kimya kimya wee mpaka wamebaki hivo
Kweli kabisa mkuu,makabila ya watu weusi..jarawa,ongi,sentineli,kwa ujumla wao walikuwa 30,000 na ushee wakati india inakabidhiwa visiwa hivyo, leo hii wako chini ya 500 sasa utasema bahati mbaya?hapana kuna juhudi za lazima zinafanywa za kuwamaliza na hiyo siyo siri tena.
 
Ila hao jamaa ni wakorofi balaa hawataki contact na outside world ukifika territory yao unakula mishale ya kutosha nimesoma mahali walikua wanawaua hadi ma contractor waliokua wanajenga barabara ya kwenye visiwa vyao
 
Ila hao jamaa ni wakorofi balaa hawataki contact na outside world ukifika territory yao unakula mishale ya kutosha nimesoma mahali walikua wanawaua hadi ma contractor waliokua wanajenga barabara ya kwenye visiwa vyao
Hiyo trunk road ndiyo imewapelekea maradhi,sasa hawa ndugu zetu wame survive kwa miaka elfu sitini wanamalizwa na binadamu wenzao ndani ya karne moja tu.kuna baadhi ya wana sayansi wali ionya serikali ya india kuhusu ujenzi wa barabara hiyo, lakini serikali ya india ilikuwa inajua "haswa" kitu gani inakifanya.
 
"Ankh" mpaka leo inatumika kwa waafrika.sijui ina maana gani.
 
King tutankhamun farao kijana kabisa mtoto wa ankhenatun.unaliona afro lilivyo kubali.
 
Ankh,djed,was. Ndugu zangu waafrika mababu zetu walituachia "siri" sasa ni kazi yetu sisi kuitafuta siri hiyo.
 
Kama juhudi za lazima zisipofanywa na nchi za kiafrika, hizi sura zitabakia kwenye picha tu tena ndani ya miaka ishirini tu.
 
Kama sikosei huyu hapa farao wa kike hatchepsut.inasemekana huyu ndio aliyefunga safari hadi "puntland".
 
Msafara wa farao Hatchepsut ulirudi na zawadi mbalimbali zikiwemo mpingo,ubani,meno ya tembo,na ngozi za chui,katika picha hii inaonyesha wamisri wakiwa wamebeba mti wa ubani kutoka puntland.
 
Malikia wa puntland akikabidhi zawadi fulani,sijui ni dhahabu?kwa farao hatchepsut.
 
Mwanaume wa kabila la kisomali akivuna mti wa "ubani"huko somalia afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…