Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachukia ukoloni na katu siwezi kuonea ufahari ujaji wa Wakoloni barani Afrika! Hata hivyo, hiyo hainiachi kuwaza kwamba je; huenda kama si ujaji wa Wakoloni Afrika; hivi sasa si ajabu bado tungekuwa kwenye primitive life kama hao?! Tungekuwa tumepiga hatua kiasi gani?
Anyway, sijasoma history... ngoja weekend hii nitumie muda kidogo kujisomea yale ambayo niliyasikia nikiwa Form I & II... Zama za Kale za Mawe; Ugunduzi wa Moto n.k! Ningependa kufahamu wakati Mswahili anaweza kuchonga jiwe kwa kutumia mawe; makabila mengine (non Africans; white in particular) walikuwa wapi!
Nikirudi kwenye mada; interest yangu sio "Waafrika" hao kwenda India... bali ni nini kiliwafanya ku-risk maisha yao kiasi cha kuingia kwenye mitumbwi hadi India! Let's wanatoka Tanga... walipokuwa wanaishi pakakumbwa na disease outbreak na hivyo kuwa si salama tena kuishi!! Kwanini wali-opt kuelekea Eastwards hadi baharini na kuanza kukata maji bila kufahamu wanaenda wapi.... huku nikiamini hawakuwa na mitumbwi ya kuweza kuhifadhi idadi kubwa ya chakula na maji... by the way; wangehifadhi kwa kutumia vifaa gani?! Why instead moving eastwards, hawakuelekea north/west/southwards ambako wangeweza kulikimbia eneo hatarishi bila ku-risk maisha yao tena wakiwa na uhakika wa kupata chakula kwavile wangekuwa wanasafiri pori kwa pori!!!!
Hebu nikumbusheni wataalamu wa historia! Wale Wangoni wa Kusini mwa Tanzania ni moja ya sehemu ya Wazulu ambao kusafiri kwao northward to Tanzania ilitokana na civil wars kule kwao?!
Mkuu Copenhagen DN, kwa hii ID yako naweza ku-assume upo Denmark! Kama ndiyo, kuna motivation factor iliyokufanya ku-move northward to Denmark! Kutafuta elimu, maisha na mambo mengine kama hayo! Nini inaweza kuwa motivation factor ya hao watu?!
Kweli kabisa mkuu,makabila ya watu weusi..jarawa,ongi,sentineli,kwa ujumla wao walikuwa 30,000 na ushee wakati india inakabidhiwa visiwa hivyo, leo hii wako chini ya 500 sasa utasema bahati mbaya?hapana kuna juhudi za lazima zinafanywa za kuwamaliza na hiyo siyo siri tena.wameuliwa kimya kimya wee mpaka wamebaki hivo
Ila hao jamaa ni wakorofi balaa hawataki contact na outside world ukifika territory yao unakula mishale ya kutosha nimesoma mahali walikua wanawaua hadi ma contractor waliokua wanajenga barabara ya kwenye visiwa vyaoKweli kabisa mkuu,makabila ya watu weusi..jarawa,ongi,sentineli,kwa ujumla wao walikuwa 30,000 na ushee wakati india inakabidhiwa visiwa hivyo, leo hii wako chini ya 500 sasa utasema bahati mbaya?hapana kuna juhudi za lazima zinafanywa za kuwamaliza na hiyo siyo siri tena.
Hiyo trunk road ndiyo imewapelekea maradhi,sasa hawa ndugu zetu wame survive kwa miaka elfu sitini wanamalizwa na binadamu wenzao ndani ya karne moja tu.kuna baadhi ya wana sayansi wali ionya serikali ya india kuhusu ujenzi wa barabara hiyo, lakini serikali ya india ilikuwa inajua "haswa" kitu gani inakifanya.Ila hao jamaa ni wakorofi balaa hawataki contact na outside world ukifika territory yao unakula mishale ya kutosha nimesoma mahali walikua wanawaua hadi ma contractor waliokua wanajenga barabara ya kwenye visiwa vyao
Mimi ngoja nianzie hapo!!!View attachment 431684 Ankh,djed,was. Ndugu zangu waafrika mababu zetu walituachia "siri" sasa ni kazi yetu sisi kuitafuta siri hiyo.
Kama sikosei huyu hapa farao wa kike hatchepsut.View attachment 431869inasemekana huyu ndio aliyefunga safari hadi "puntland".
Huko hakuna vile vimchanganyiko vya caroliteWajamaa ni weusii aisee wawaache waishiwapendavyo
Location ya puntland inasemekana iko kwenye pembe ya afrika kuanzia north eastern sudan,eritrea,djibouty,somalia,na ethiopia.Somalia?