Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

mkuu Kuna mwanahistoria flan gwiji uingereza anadai hawa watu waliachwa nyuma kisiwani hapo na wenzao waliotangulia mbele Papua New Guinea, Australia na east and west pacific.

Wenyewe waliamua kubaki visiwani humo. Wataslam wamepima DNA zao zinashabiana kabisa na sisi wa east Africa na yale aborigine ya australia
 
Na ni nini hasa kinachopunguza idadi yao?? Umesema Wamebakia 450 tu! Je kabla ya hapo walikuwa wangapi? Na nini sababu ya mfumo wao wa kinga kuwa dhaifu zaidi ya jamii nyingine? Kama hutajali naomba majibu
inasemekana miaka 200 iliuopita walikuwa zaidi ya 30 elf. Naskia magonjwa ambukiz kutoka Kwa wageni
 
View attachment 429936 Huyu binti wa pacific hawaii.muonekano wa kiafrika bado upo japo anabadilika kutokana na mazingira na labda chakula.
Hapana mkuu wa hawahii hawanavinasaba yeyote na waafrika. Hawa wapo chini ya group of People called POLYNESIANS ambao ni Tongan, Tahitians (French Polynesian), Samoans, Maoris (wale wa Newzealand) Na Hawaiian. Pia watu wa Madagascar ni Polynesian wasichana wao warembo sana.

Kuna wakati nilitaka kulera Uzi kuhusu hawa watu nikawa preoccupied.

inasemekana chimbuko lao ni taiwan dna inaonyesha
 
View attachment 429943 Msichana wa kihabeshi afrika.tizama nywele mwafrika alianza kubadika badilika zamani.
mkuu in africa there are 3 major groups of peoples. Kuna Bantus nilotes and cushites/semites na san people (bushmen). Kwa hawa wahabeshi ni Semites ambao ni Tigray na Gurage walitoka middle east hasa Yemen. Pia Cushites walitoka hukohuko ndio wasomali, Oromo, Borana, Tutsi, Mbulu/iraqw hadi Fulani wa west na central Africa.

Sasa waafrika real ni sisi mabantu ambao tulizaliwa humuhumu Africa na hatukuamia. Kuna two group of bantus East and Western bantus kuna suku nitaleta uzi.

kuna nilotes weus tii chimbuko lao sudan au nubian.

Nitaleta uzi humu siku moja
 
well said mkuu,kuna watu huwa wanadhani nchi zingine hazikutawaliwa huku hata marekani yenyewe imetawaliwa
 
Pia kuna hawa wa visiwa vya FIJI inasemekana pia asili yao Tanganyika, walitokea mwambao mwa ziwa Tanganyika hadi wakafika Atlantic Ocean. Wao wata miili mikubwa ya Kiafrica hasa, ila bado huwezi wakuta weusi kabisa kama sisi. Hata ukimkuta mweusi tii basi nywele zake za kishobe kidogo. Hata neno FIJI wanasema linatokana na nene VITI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…