LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
aisee kuna ndala za kutosha kama manzese..Mungu nisamehe khaView attachment 429949 Hawa ni waindonesia wakiwa gulioni,uafrika uko waazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee kuna ndala za kutosha kama manzese..Mungu nisamehe khaView attachment 429949 Hawa ni waindonesia wakiwa gulioni,uafrika uko waazi.
Yaah sababu hakukuwa na ufahamu wa kuandika kumbukumbu basi wataalamu wetu wa leo wanatuambia leo hili kesho lile ingawa teknolojia ya dna inaweza kutoa mwanga japo kidogo.Mimi nafikiri wakati biashara ya utumwa inaendelea ulimwenguni ktk maisha yao huko ugenini wapo waliokuwa wakitoroka na kukimbilia wasipo pajua kujificha so hamna mtu aliyeweza kujua hao watu walipo it's all about nature.....I love our mother nature.
Diaspora tu hawatambuliwi kama ni raia, ndio ije kuwa waafrika duniani.Ni historia nzuri sana,ila sisi waafrika ni wanafiki na tuna roho mbaya sana kwa nini umoja wa afrika usifanye utaratibu wa kuwatambua waafrika wote popote walipo
Na wengine wapo philippineNimesikia kuna wengine wako china, hawajui hata walifikaje na nilini
Habari za Wikendi wanaJamvi.
Bado inawaumiza vichwa sana wana Historia na wanaanthropolojia hawa watu walifikaje India kwenye visiwa vya Andaman na Nicobar? Nadharia tofauti zinadai hawa watu wa kabila linaloitwa Jarawa walisafiri kutoka Africa Mashariki Kwa mitumbwi miaka elfu 60 iliyopita na wala hawakuwa watumwa walifika pekee Yao.
Vasco da Gama kawaelezea Kwa uchache kweli walipojaribu kuweka nanga visiwani humo Karne ya 15 akielekea Goa India walikabiliwa na upinzani mkali Kwa kurushiwa mishale ikabidi waondoke.
Sasa hivi idadi Yao imeshuka wamebaki 450 tu. Serikali ya India imeamua kuwaacha waishi wanavyopenda bila bughudha na kutoruhusu watalii wowote hasa kutoka magharib ambao wanausongo sana kuwatembelea ndugu zetu hao India Kwa sabab kinga za mwilini mwao ni dhaifu na wakipata maambikiz kama magonjwa ya Surua itawafyeka.
Kuna wahindi walikuwa wanawaingiza watalii wazungu kinyemela visiwani humo nyakati za usiku ila wamekamatwana serikali ya India nakuchukuliwa hatua kali.
Mwaka huu binti wakabila hili la Jarawa alizaa mtoto chotara ikabidi wazee wanaume wa kabila hili wakizamishe baharin. Msemaji wa serikali ya India alisema hawez kuingilia mambo ya hao watu wamewaacha wajitawale wenyewe.
Vyakula wanavyokula ni mizizi, nguruwe pori, samaki na madafu sana sana.
Very interesting
Habari za Wikendi wanaJamvi.
Bado inawaumiza vichwa sana wana Historia na wanaanthropolojia hawa watu walifikaje India kwenye visduiwa vya Andaman na Nicobar? Nadharia tofauti zinadai hawa watu wa kabila linaloitwa Jarawa walisafiri kutoka Africa Mashariki Kwa mitumbwi miaka elfu 60 iliyopita na wala hawakuwa watumwa walifika pekee Yao.
Vasco da Gama kawaelezea Kwa uchache kweli walipojaribu kuweka nanga visiwani humo Karne ya 15 akielekea Goa India walikabiliwa na upinzani mkali Kwa kurushiwa mishale ikabidi waondoke.
Sasa hivi idadi Yao imeshuka wamebaki 450 tu. Serikali ya India imeamua kuwaacha waishi wanavyopenda bila bughudha na kutoruhusu watalii wowote hasa kutoka magharib ambao wanausongo sana kuwatembelea ndugu zetu hao India Kwa sabab kinga za mwilini mwao ni dhaifu na wakipata maambikiz kama magonjwa ya Surua itawafyeka.
Kuna wahindi walikuwa wanawaingiza watalii wazungu kinyemela visiwani humo nyakati za usiku ila wamekamatwana serikali ya India nakuchukuliwa hatua kali.
Mwaka huu binti wakabila hili la Jarawa alizaa mtoto chotara ikabidi wazee wanaume wa kabila hili wakizamishe baharin. Msemaji wa serikali ya India alisema hawez kuingilia mambo ya hao watu wamewaacha wajitawale wenyewe.
Vyakula wanavyokula ni mizizi, nguruwe pori, samaki na madafu sana sana.
Very interesting
Habari za Wikendi wanaJamvi.
Bado inawaumiza vichwa sana wana Historia na wanaanthropolojia hawa watu walifikaje India kwenye visiwa vya Andaman na Nicobar? Nadharia tofauti zinadai hawa watu wa kabila linaloitwa Jarawa walisafiri kutoka Africa Mashariki Kwa mitumbwi miaka elfu 60 iliyopita na wala hawakuwa watumwa walifika pekee Yao.
Vasco da Gama kawaelezea Kwa uchache kweli walipojaribu kuweka nanga visiwani humo Karne ya 15 akielekea Goa India walikabiliwa na upinzani mkali Kwa kurushiwa mishale ikabidi waondoke.
Sasa hivi idadi Yao imeshuka wamebaki 450 tu. Serikali ya India imeamua kuwaacha waishi wanavyopenda bila bughudha na kutoruhusu watalii wowote hasa kutoka magharib ambao wanausongo sana kuwatembelea ndugu zetu hao India Kwa sabab kinga za mwilini mwao ni dhaifu na wakipata maambikiz kama magonjwa ya Surua itawafyeka.
Kuna wahindi walikuwa wanawaingiza watalii wazungu kinyemela visiwani humo nyakati za usiku ila wamekamatwana serikali ya India nakuchukuliwa hatua kali.
Mwaka huu binti wakabila hili la Jarawa alizaa mtoto chotara ikabidi wazee wanaume wa kabila hili wakizamishe baharin. Msemaji wa serikali ya India alisema hawez kuingilia mambo ya hao watu wamewaacha wajitawale wenyewe.
Vyakula wanavyokula ni mizizi, nguruwe pori, samaki na madafu sana sana.
Very interesting
Bado nadharia INA upungufu, kama walitumia ships tutajuajeView attachment 430461 Inafikirika kuwa ilikuwa hivi.
Ni nadharia tu,mapungufu lazima yawepo,ila kuna ukweli fulani ndani yake,kutumia mitumbwi kuvuka bahari sidhani.hebu itilie nyama nadharia yako ya mitumbwi.Bado nadharia INA upungufu, kama walitumia ships tutajuaje
Wazungu waliwauza watu weusi dunia mzima..!
Wazee wa zamani wapitumia large ships katika shughuli za kiuvuvi na kibiashara, wazungu wanatuona hatuna uwezo wa kutengeneza ships ndio maana wanatupa nadharia za kutembea kwa miguu kama ngedere, haujiulizi kwanini wanatuita nyani!Ni nadharia tu,mapungufu lazima yawepo,ila kuna ukweli fulani ndani yake,kutumia mitumbwi kuvuka bahari sidhani.hebu itilie nyama nadharia yako ya mitumbwi.