Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Inasemekana cye ndyo binadamu wa kwanza so tunaendelea kubadilika... Ndomanaa wadada wakiwa wadogo huwa weusi wakikuwa wanakuwa wazungu
Kama sini ni binadamu wakwanza natunaendelea kubadilika, hao wazungu ni wangapi waliokwisha badilika.
 
large ships
Sidhani mkuu ila inasemekana kipindi hicho kulikuwa na vyombo vya matete au ndago reeds.
92943e4c9e7d0685d2e4eb8aded875f1.jpg
Ethiopia_ferry.jpg
canoe-2.jpg
Out-of-Africa Map.jpg
Reed Boats, Lake Titicaca, Peru.jpg
Tomol ChumashMaritimeOrg.jpg
Uros-Totora-Reed-Boat.jpg
 
Vyombo hivi vilitumika kuijaza bahari pasifiki kutoka kisiwa kimoja kwenda kingine.
 
Warumi walijenga barabara za mawe juzijuzi miaka elfu mbili na ushee.😀
romanroad5.jpg
roman_road_britain2.jpg
ndiyo zikabadilika badilika na mpaka leo tunasema lami baada ya ugunduzi wa mafuta.
 
Kweli hao ni waafrika. Ila miaka ya siku hizi waafrika hawaeleweki wana rangi gani. Kwengine weusi,wekundu mara rangi gani sijui.

Ukiuliza utaambia mkorogo.
 
Huyo mtoto atakuwa ni albino,tunapiga vita mauaji ya albino,hapa unasifia mauaji.Kwa mauaji haya,inatakiwa kitendo hiki kilaaniwe na watu wa haki za binadamu dunia nzima.

Kwa nilichoelewa msimulizi kasema wazi mtoto alikuwa 'chotara' na si albino cz kuna tofauti kubwa kati ya chotara na albino. Mauji ni dhambi hasa kwa kiumbe kisicho na hatia lkn ukitazama vzr jinsi hawa watu wanavyoishi ni km watu wa zama za mawe za kale so ni lazma wawe na tamaduni zao ikiwemo hiyo ya kuua machotara cz historia inaonyesha jamii nyingi za kale zilikuwa na baadhi ya mambo yasiyokubalika kijamii hivyo wanahitaji kuelimishwa kwanza kabla hujaanza kuandama wewe na hao haki za binaadam.
 
Da yan taifa kubwa kama India wameshindwa kuwapelekea ustaharabu hawa watu wamewaacha tu watembee uchi.Dah!Nimeumia sana,najua in dhambibya ubaguzi mwisho wa Sikh wakajikuta wanatembea tu pekeyao wakashindwa kufanya adaptation
Ndio safi
 
hapa ndipo utagundua kwanini mwafrika anachukiwa sana duniani
 
Wore uliowaweka hapo ni wasomali (wenye asili ya kiarabu) nionyeshe mtanzania aliyeanza kubadirika bila msaada wa mkorogo.
somalid.png
Utafiti unaonyesha wasomali na wahabeshi ni carriers wa haplogroupE1b1b1a1(Y-DNA) kama inavyo onyesha hapo ni asilia wa pembe ya afrika,waarabu wanayo lakini wameitoa afrika.
 
Mmmh msambwanda
Kwanini hawavai nguo hadi leo
Isolation na matashi yao. Sio hao tu. Brazil wapo misituni ukidhubutu unalishwa nchare, wahazabe Tz (spelling nimekosea) wale wa God must be crazy wa Namibia na Papua new Guinea wapo wengi tu. Yawezekana hata Bongo kuna sehemu hawajaona mtu wa nje wala gari wala umeme. hivyo bado na sisi tumo.
 
Back
Top Bottom