hometown
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 939
- 1,311
Ni kweli lakini hata wao wanaishi kwa matabaka na kubaguana sembuse mtu mweusi?!!!!!Da yan taifa kubwa kama India wameshindwa kuwapelekea ustaharabu hawa watu wamewaacha tu watembee uchi.Dah!Nimeumia sana,najua in dhambibya ubaguzi mwisho wa Sikh wakajikuta wanatembea tu pekeyao wakashindwa kufanya adaptation