Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

julius-k-nyerere-quote-african-nationalism-is-meaningless-dangerous.jpg
RIP MWALIMU.
 
Kaka kulikuwa na Kampeni kubwa sana ya Wazungu kuficha hii history, walijitahidi sana kuvunja pua za kila sananu ili kuvunja identity ya Mwafrica, we angalia sananmu zote utaona pua zake zimevunjwa
Askari wa napolione walipofika misri walivunja kwa makusudi kabisa pua ya "sphinx" na ushahidi upo.sasa utagundua kuwa ilifikia wakati wakaona waondoe ushahidi wa mwafrika katika historia ya dunia..wamejaribu lakini mungu yuko nasi.
 
Picha ya sphinx, pua yake ilivunjwa kwa makusudi.
ABC-LIC-HIS101.jpg
 
Jarida la national geographic,wameanza kukubali kiaina..itafikia wakati tu watasema ukweli.
BlackPharaoh72.jpg.w300h445.jpg
 
Mkuu yesu kazaliwa juzi tu kakuta civilization iko tayari kitaambo
 
Mkuu yesu kazaliwa juzi tu kakuta civilization iko tayari kitaambo
Ooh yees! Yesu au issa au masia au masihi..alikuta wameshamtafunia..yeye alikuja kumeza tu.ila kuna similarities kati ya dini za kimisri na dini zetu leo hii.
 
Mkuu nime confirm uki google ancient chines histoy of trade with africa wameandika kwa mapana sana
Nitatumia hiyo keyword kujielimisha zaidi... na ndio maana, uliposema tu, hapo hapo nikaona ina-make sense manake kitu chenye mantiki kinaonekana tu!!!!
 
Wamisri wa kale walikuwa wakibeba kitu kinachofanana na msalaba,walikuwa wanakiita "ankh"bado haijajulikana hasa walikuwa wana maanisha nini?japo kuwa wana historia ya ijiptia wanajaribu jaribu kukisia. Hebu muangalie farao huyu ramasis ameshika "
ankh7.jpg
329e9e28fb9dec9d1fa19a745b63a09c.jpg
ankh"
 
60448b1755fddbe6bcfc6a0788d241f3.jpg
Mafarao katika mavazi mbali mbali "ankh"mkono wa kushoto na fimbo mkono wa kulia hizo kofia zinakukumbusha nini.
 
Muafrika ameanza ku hustle Siku nying nchi Za watu,hivi wale wana waisrael waliohama kutoka misri wanaaminika Kuwait ni Blacks
 
sl5.jpg
Fimbo wanazoshika mafarao zina aminika ni hizi fimbo asili yake ni afrika.
 
Muafrika ameanza ku hustle Siku nying nchi Za watu,hivi wale wana waisrael waliohama kutoka misri wanaaminika Kuwait ni Blacks
Mkuu! Mbona ushahidi uko,kuhusu asili ya waebrania wa kale.
 
Back
Top Bottom