Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

Aisee.
Halafu kuna sehemu humu jamaa ananiambia ohh Tanzania ukiandamana tu Mabuti n.k....na nimemchallenge atizame huko kama hakuna mabuti bunduki mabomu ya machozi n.k... Yaani hizi habari zimefinywa unaona habari za Odinga.

Asante kwa Taarifa
habari imefinywa na umejua?
 
Bbc na cnn wameonesha hayo???
 
Sawa mimi situmii Akiki
Je Kinacho Fanywa na Polisi Ufaransa Nisawa?
kwann usihoji maswala ya tz kama ni sawa trafik kudai buku 2 ya chai kuliko kuhoji mambo unasikia tu na kuyaona kweny picha
 
Hivi we kweli Muelewa
Nimeuliza Kinacho fanywa na Polisi Nisawa
Au Haki za Raia Zinafuatwa kwenye Hayo Maandamano?
acha kuhamisha goli , hoja ya mwanzo ww na mr.mihemko mwenzio mlidai habari zimebinywa na jamaa kawajibu sasa hv mnahamisha magoli , nyiny kizaz cha ujamaa mna matatizo sio bure
 
Venezuela , Syria , Afghanstan , Moldova , Georgia , Ukraine etc kote huko Urusi alijipeleka ila kipi kilikuwa kina muhusu ?
 
Kwahiyo kuwaunga mkono ndo kusababisha ? kwamba mtu kusema npe haki yake ndo anapewa lawama zote au kuua binti ni sahihi ? imagine ni binti yako ? Iran waliishi vzr kabla ya Ayotollah
 
Sasa kama ni haki yao kuandamana wann wana wapiga na kuwarushia mabomu ya machozi?
Sasa hapo wana tofauti gani na Iran unayo iita madekteta?
unajua taratibu za kufanya maandamano?
 
Iran ni Ulimwengu wa 3 ?
Ngoja nikutajie baadhi ya nchi za ulimwengu wa 3.
Kenya
Tanzania
Zimbabwe
Iran yupo kundi moja na hao?

Wana haki ya kuandamana?
Mbona wanadundwa sasa, si wawaache waandamane
kwahiyo kisa Tz ni ulimwengu wa tatu bas mataifa mengine hayawez kuwa kundi hilo? ndan ya Iran kuna watu hata nguo hawabadili mpk mwaka unaisha , endelea kudanganywa na clips za tehran
 
China inakuwa Ulimwengu wa tatu wakati huo Ureno na Spain zipo Ulimwengu wa kwanza
unahisi maisha ya mtu mmoja mmoja hata Ukraine ilikuwa juu ya China usifikirie juu ya Ureno
 
Hii vita Sasa maana Maandamano yameamia shambani!!!
 
ubishi kweny kilele chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…