Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

maandamano yana taratibu zake , maandamano meng hawapigwi wanasaidiwa na polisi ila hapo umeona wameshambulia maduka ya watu , je ww kama mweny duka ungefurahi ? wakat hauhusik na maandamano yao
Sasa mbona mlikuwa humu mna washabikia waandamanaji wa Iran walio kuwa wanavunja mabenki ,maduka , wanachoma magari?
 

Ngoja nikupe mfano unaomfoutisha fala anaetafuta negativities na kuongozwa na mihemko zaid na mtu anae angalia uhalisia.

George Floyd alikufa kwa kifo Cha Kuwekewa goti la shingo na askari hadi uhai wake ukakoma pale pale.
Tukio ilo likaibua hasira kubwa, maandamano makubwa na vurugu juu. Askari wakamatwa hadi leo wamefugwa na zaidi waandamanaji wakataka Rais wa wakati huo a-step down.

Serikali ya Marekani haikuraumu mataifa ya nje kuchochea ama kusababisha maandamano hayo.
Wakati wa maandamano hayo internet haikuzimwa, hakuna muandamaji alieuwa, vyombo vyote vya habari viliripoti tukio ilo..dunia nzima ikajua kuwa George kawekewa goti la shingo hadi akafa.

* * ' *

Baada muda fulani tukio lenye taswila kama hiyo kikatokea Iran.. Binti mdogo(sijui ni kwa bahati mbaya ama maksudi) hakufinika kichwa chake kama sheria ya nchi inavyomtaka.. Askari kanzu wakamkata wakampiga hadi akafia mikono mwao the same ilivyotokea kwa George uko Marekani.

Kifo cha binti huyo kikazua maandamano uko Irani.. Serikali haikuomba radhi, askari kanzu waliofanya ilo tukio hawakuchukuliwa atua yoyote, hadi leo wapo huru tofauti kabisa na waarifu waliochukua uhai wa George uko Marekani.

Baada ya maandamano kukolea serikali ya Iran ikairaum marekani na Israel kwa kusababisha maandamano.. ikaaingiza wadunguaji na askari wengine wenye silaha wakaingia barabarani na zaidi ya watu Mia 2 wamekufa kutokana na maandamano hayo.

Kitendo cha vyombo vya habari kuripoti maandamano ya Iran ikaonekana ni uchochezi ila wakati vyombo hivyo vinaripoti tukio la George haikuwa uchochezi.

Leo ufaransa ipo katika maandamano, hakuna hata kifo Cha mtu mmoja ila kuna watu wametolewa ngeu na mashati kuchanika mmekuja kuanzisha nyuzi et mbona marekani haiongei.

Ikiwa insu ni kuongea ama kutongea mbona uhoji maandamano ya Odinga ama ya Malema?

Kuwa emotional kutafuta negativities kumewapofushani.. Ndiyo maana umekaza fuzu kutafuta ulinganisho kwenye sifuri.
 
Israel wanaandamana hadi leo, ufaransa nako pia ni hivyo hivyo ila ambacho sijasikia ni kuwa waisrael wamedanganywa ili waandamane.
Hii ndiyo tofauti ya akili na kinyume chake.
Naona mnatetea ujinga wenu vyombo vipi vya habari vinatipoti hizi habari uingereza, France, German kote wanaandamana Lin ulisikia vyombo vikubwa vikitangazaa izi habari siyo bbc, aljazira, CNN, wala france24 ila mnashadadia sana nchi nyingine ikipiga pini vyombo vyao kutangazaa habari zao au mitandao ya kijamiii

Kila nchi inapendaa kulindaa aman yake hakuna mkuu yoyote wa nchi anapendaa maandamano kumuhuusu yeye na Sera zake
 
Pole yoa sana...
Hii yote ni sababu ya...

  • Hivi karibuni kumekuwa na maandamano ya watu wanaopinga hatua za serikali za kupambana na janga la COVID-19...
  • Hasira kwa sababu ya viwango vya juu vya ukosefu wa ajira na kuongezeka kwa gharama za maisha...
  • Pia, baadhi ya watu wanapinga hatua za serikali za kupunguza matumizi ya umma na kubana matumizi katika sekta za afya, elimu na usafiri.
 
Wanachofanya iran ni kuzima maandano kwa nguvu ikiwemo kuua lakini hapo ufaransa wanapigana na wanaofanya violence peaceful protesters hawaguswi. Unachoshindwa kuelewa nini hapo? Umesikia watu wameuwawa huko ufaransa? Acha ushabiki wa kipumbavu.
 
wanajua kujitoa ufahamu sana hawa wajinga.
 
Mbona kama wameenda kuandamania porini?
 
Hata kama nitakupa ushahidi kuripoti wa vyombo vyote unavyohisi havitangazi maandamano ya ufaransa na Israel bado utanihoji ni kwa nini muandamani huyu na yule kachaniwa sharti kwenye Maandamano ikiwa kweli ufaransa ina-practice sheria ya kuandamana.

Bado utanihoji "why"askari ya ufaransa wamesimama na marungu barabaran wakati watu wanaandamana bila silaha, so, utaendelea kuzalisha maswali coz tayari umesha set ubongo wako kutafuta negativities tu si kitu kingine toka kwenye kitu ambacho umeshakichukia.

Mtu akichukia/kukuchukia kitu/mtu hata kama utatembea juu ya maji atasema unatimu vumbi. So, we endelea kutafuta picha za watu walio tolewa ngeu na kuchaniwa Makoti yao kwenye maandamano ya ufaransa ili uulizishe moyo wako dhidi ya unachokichukia.

Wakati unaendelea kutafuta cha kukufurahisha ninapenda ni kukumbusha kuwa hadi sasa Israel maandamano ni makubwa. Ila Netanyahu hairaumu Iran kwa kuleta ama kuchochea maandamano ndani ya Israel.
 

Attachments

  • 20230327_101445.jpg
    397.8 KB · Views: 3
nimekwambia leta kifungu chochote cha sheria kinacho kataza maandamano kwenye sheria za Iran.

kama polisi wa ufaransa wana haki ya kuzuia waandamanaji kuharibu mali basi na polisi wa Iran wana haki ya kulinda mali zisiharibiwe.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa polisi huwa wanakabiliana na maandamano kutokana na jinsi yalivyo ,mkija wa baridi watatumia nguvu ndogo mkija wa moto na wao wanakuwa wa moto vile vile maandamano ya Iran waandamanaji walikuwa wanawashambulia polisi kwa silaha na kuwauwa kwa hiyo ulitegemea polisi wawachekee?
 
Hawa vijana Kiukweli wana Akili Mgando yaani Kikifanyika Marekani Au Ufaransa Sawa
ila Kwingineko No
Ujinga na Utumwa Wa Akili Vimewatawala
 
Na Kinacho Ripotiwa Kina kuwa na Uficho mwingi Kwanza Hawaonyeshi matukio Mabaya kama wafanyavyo Kwingineko
Pia Jumuia za Kimataifa Zipo kimya Kuhusu Ufaransa kwanini?
 
Na Kinacho Ripotiwa Kina kuwa na Uficho mwingi Kwanza Hawaonyeshi matukio Mabaya kama wafanyavyo Kwingineko
Pia Jumuia za Kimataifa Zipo kimya Kuhusu Ufaransa kwanini?
Chief, uzi wako unalenga kundi la watu fulani wenye mihemko zaidi na si watu wanaotazama mambo kwa uhalisia wake. Unataka jumuia ya kimataifa isema nini kuhusu ufaransa?

Zaidi ya watu Mia 5 wameuawa uko Iran wakati wa maandamano hiyo Jumuia ya kimataifa haijasema chochote juu ya ilo, ila unataka Jumuia hiyo hiyo iseme kitu juu ya ufaransa ambako hakuna hata kifo Cha mtu mmoja ila "iseme kitu" kwasababu kuna mzee kaburuzwa na mwingine kachaniwa koti lake wakati wa maandamano, really?

Alafu kwanini antiwest wengi mna kitu common sana katika kufikiri kwenu, hii ni coincidence tu ama kuna kitu kinawajenga🤣🤣?

Ndiyo, west wana Mabaya yao ila kwa mashitaka haya mnayoyatoa antiwest mtaendelea kuonekana kama watu mliochanganyikiwa.
 
Mnakuja na ID toafuti Uandishi ni ule ule
Umeangalia Video ngapi za matukio Huko France
Umeona Nguvu iliyo tumika Kwapolisi
Yaani unataka Utangaziwe Wamekufa Wangapi ndio ujue Polisi wamkosea?
Irani Waandamanaji walikuwa na Bunduki kabisa je Ufaransa walipewa Bunduki?
Irani Mwanzoni tu Mataifa yote hayo yaliungamkono Waandamanaji Kwanini hawaungi mkono Ufaransa?
Nihaki yakuandamana Na Wao ndio wayetezi wa Demokrasia iweje Wapigwe?
 

Kama wewe Una Akili timamu na Unajitambua
Ukiangalia Hii Video Kilicho fanyika hapa nisawa?
hawa watu kosalao nini?
Hawana haki Ya kuandamana?
Je Walikuwa Na Silaha
Angalia Mzee huyo hapo mwanzo tu Polisi wanapiga kakwepa alikuwa kabeba nini Silaha?
Kipi kilipelekea Kupgwa kwa hawa

Your browser is not able to display this video.
 
Umenifanisha nani chief hata useme ninabadili ID ili kujibizana na wewe?. Mi nina ID moja tu na mostly jukwaa langu pendwa ni ili ili na ni mara chache kunikuta nje na hapa.
Na ni rahisi kun-identify hata ikitokea nikafungua I'd nyingine..
Kama utanifuatilia vizuri ninashida fulani ya "R" na " L" katika uandishi wangu🤣🤣 nimeathilika vibaya na tatizo ili.
So, tunaweza kuwa wengi wenye mtazamo/maoni ya upande unaoupinga wewe but ili kujua ikiwa unajadiliana na mtu yule yule ndani ya Id tofauti tofauti angalia R&L.. Ni tatizo ambalo wachangiaji wengine hawana, ila mimi .. So, ukifanya hivyo utagundua kuwa umenisingizia kuwa na ID zaidi ya moja.

Nb:- umejipa muda wa kufikiria chanzo cha maandamano ya Iran na ufaransa?.
 
Umechange Tena Id
Hahaha
 
We
We na wenzako msiwe mnaandika vitu msivyovijua kupotosha humu.
Hawa walioreport na wanaorusha hizo protests live events ni TBC?
ni
 
Na Kinacho Ripotiwa Kina kuwa na Uficho mwingi Kwanza Hawaonyeshi matukio Mabaya kama wafanyavyo Kwingineko
Pia Jumuia za Kimataifa Zipo kimya Kuhusu Ufaransa kwanini?
Wewe pitia videos nilizotuma humu, kama bbc, cnn, Dw hawareport ukweli hizo media takataka zenu za TBC ndio wanareport ukweli unafikiri taarifa wanazitoa wapi?
We huoni police waliweka barrier hapo na hao waandamanaji wameivuka hiyo barrier ?
 
Jitu limekula limevimbiwa kiporo cha viazi na maharage yaliyochacha linaropoka tu eti bbc ,Dw ,cnn na sky news hawarushi coverage ya french protests.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…