Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Sisi wapiga kura wako hapa jimboni Mtama tunakupenda sana.

Lakini wewe kama Kiongozi wetu (Mbunge) hukutakiwa kukubali huu ujinga.

Haiwezekani ukawafanyia kina mama huu upuuzi hata kama wao walikuwa tayari.

Kumbuka kuwa wewe ni kiongozi tena wa kisiasa ambaye ulitakiwa kufikiria kwanza haki za binadamu.

 
Hapa utadhani alikuwa anaambiwa Nape

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape akili zake zinamtosha yeye mwenyewe tu.

Ni vile tu wa africa hatuna itikadi za kuchunguza watoto zetu mapema ila wangemchunguza mapema wazazi wangegundua jamaa ana hitilafu katika afya yake ya akili hasa uwezo wa kuchanganua mambo (autism).

Nape huwa hafikirii kabla kutenda ama kuongea. Na ndio maana huwa anatoa kauli tata mara nyingi ikiwemo matusi.

Wengi wanaweza sema ni uthubutu kuongea ovyo ila kiuhalisia hiyo ni hitilafu ya akili. Binadamu yeyote unapaswa uwe na uwezo wa kutafakari kabla kuzungumza kuzingatia wadhifa wako, hadhira yako na mada husika.

Ila kwa Nape haitokuwa ajabu akaenda msikitini na kusema atatoa mchango wa kitimoto kwenye tafrija ya waislamu.

Nape hakupaswa kuwa hata diwani kwa upeo wake ila ndio hivyo jina la baba linambeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…