Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Unabishana na Mmawia wakati ndiyo kwetu huko?Usibishane na usichokijua!! Uliza utaambiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabishana na Mmawia wakati ndiyo kwetu huko?Usibishane na usichokijua!! Uliza utaambiwa
Membe alikuwa mbunge miaka mingi huko Mtama, sina hakuka kama alikajaga wamama hivi. Mila za kizamani zio zote poa. Kama ni mila mbona mnakataza kukeketa wanawakeHio ni kwa mujibu wa tamaduni na mila za kwao
Umeonaeeeeeee?Membe alikuwa mbunge miaka mingi sina hakuka kama alikajaga wamama hivi. Mila za kizamani zio zote poa. Kama ni mila mbona mnakataza kukeketa wanawake
Nape hastahili kuwa kiongozi nchi hii kwa unyama huu!Sisi wapiga kura wako hapa jimboni Mtama tunakupenda sana.
Lakini wewe kama Kiongozi wetu (Mbunge) hukutakiwa kukubali huu ujinga.
Haiwezekani ukawafanyia kina mama huu upuuzi hata kama wao walikuwa tayari.
Kumbuka kuwa wewe ni kiongozi tena wa kisiasa ambaye ulitakiwa kufikiria kwanza haki za binadamu.
View attachment 2693829