Kichwa chako hakifikiri vzr wewe..Nape anajua siri za chama kuliko Lowassa na Sumaye?Kuna watu wanashindwa kujua kuwa Nape kuchukia kwake ni hatari sana kwa hilo chama lao hasa kwa wakati huu. Nape anajua siri nyingi za chama chao kama ajuavyo Kinana na JK na ukweli ni kuwa sizonje hamfikii hata nusu Nape katika kukijua chama.
Ndio maana hana hofu na sizonje na atamtwanga mpaka basi na kumfukuza chama hawawezi