Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Hapo mm ningeomba nitembelee tumbo, yaani niwe natambaa kwenye viuno vyao. Siasa raha sana.
 
Nape amekata tamaa u radhi kwa lolote iwe heri ama shari , kitendo cha kumtolea bastola hadharani tena na mtu ambaye hajielewi kisa katumwa na asiye jielewa kina mpa mateso makali sana hasa akikumbuka kazi aliyo ifanya kwamoyo mkunjufu kuwa fitini wengine ili waliopo sasa wapate nafasi wanazo zitumia kumnyanyasa.
Huyo nape ni team milembe acha waangamizane wanafiki unafiki wao unawaludia wenyewe kwa aibu kuu hadi kwenye familia zao walizani kuinajisi democracy kwenye maswala ya katiba mpya na uchaguzi mkuu ni laana ya mchezo mchezo [emoji107] [emoji107]
 
NapevMzee wa bao la mkono "same time I love JPM" wanyoroshe hao akina nape it is very funny
 
Kama umeshawahi hudhuria harusi za kimakonde ...hilo ni kawaida katika utamaduni wao.
 
Loooh huo nao ni ubashite khaa mapenz gani haya ya .......[emoji125]
Na huyu muheshimiwa, amekubalije kujidhalilisha, kwa kuwadhalilisha watu waliojidhalilisha, badala ya kuwaelimisha!
 
Kweli dunia ina mengi tusiyoyajua.

Ivi mambo haya yanafanyika hapa Tanzania miaka yote hii bila sisi wengine kujua ?

Kweli nimeamini akina mama wa kimakonde wanaongoza kwa kupenda

Wanajua mapenzi haswaaa...!

Nape atakataaje wakati ndo mila na desturi za kabila lake ?

Akikataa anakataliwawa na jamii yake,
Naye ikabidi aonyeshe mapenzi ya kweli kwa kulia

Ya Wamakonde waachiwe Wamakonde.
 
Daaah..! Ni afadhali hawa aisee  
79a7f2ea4fcec83d7df0b6e89902bed4.jpg
90320ce97e40add4d86e2e5b0ab446e4.jpg
Hakuna mwenye afadhar hapo waliodeki barabara waliolala chin wote ni akinabashite tuu
 
Kama Nape leo analia hadharani watanzania wengine wanalia moyoni wako wangapi ?
 
Tembeeni muone nyie , hiyo bniheshima kubwa sana kwa makabila ya kusini kufanyiwa hivyo
Sio makabila ya kusini, labda kabila fulani (pengine ni hilo hilo alilolipata huyo muheshimiwa).
'Usi = 'generalize' vitu bila kufanya utafiti wa kutosha.
 
Back
Top Bottom