uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,467
- 916
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kumbe hawa jamaa walitumia sabuni kabisa kudeki barabara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kumbe hawa jamaa walitumia sabuni kabisa kudeki barabara?
Nimekuwa nikiamini watu muko analytical kwa muda mrefu, lakini kumbe mukiguswa kwenye channel zenu, hata reasoning inaondoka. Nawe umeingia kundi hili linaloamini Rais huyu anakosea kuliko aliyepita!"Tulipigana tukiamini Tanzania iko salama chini ya Chama Cha Mapinduzi, bado nina amini Tanzania bado itakuwa salama kama Watanzania hususani vijana watasimama kusema ukweli, akikosea mtu hata awe mkubwa mpaka Mbiguni akikosea lazima aambiwe ukweli" Nape Nnauye
Idadi ya wanaomtolea uvivu dikteta uchwara inazidi kuongezeka tu. I hope hii trend itazidi kushamiri na huyu jamaa kukosa support kabisa ya kuendelea kuwa Rais wa nchi kama akiamua kuendelea na udikteta uchwara wake wa kudharau Bunge na katiba na pia kutotaka kumsikiliza yeyote yule kwa sababu tu ana Phd yake uchwara ya kubangua korosho hivyo kujiona anajua sana kuliko yeyote yule nchini.
Alutta continua! continua!
Ukisikia unyanyasaji ndiyo huu, hivi hakuna namna nyingine ya kujitangaza zaidi ya kumdhalilisha Mwanamke namna hii?
Mmmmh! Kijana alidhani CCM ni mali yake. Hiki ni kiburi cha kudekezwa na rais aliyepita kwa miaka 10. Kisha amini ana uwezo sasa anashangaa kwa nini rais huyu hauoni! Watu kama huyu hawajitambui na hapo ndo CCM wanatakiwa kuwa waangalifu ktk matumizi ya wanachama. Siyo kila asiye aibu anafaa kutumikia taifa. Anweza kutumikia Chama lakini siyo Taifa.Acha kuchochea, karudi jimboni kwake ulitegemea iweje!?
Tena hao mbona sio wanamtama wote. Ungeona wenzake wa CCM waliokaa meza kuu, walivyokuwa hawampigii makofi kwa mengi aliyoongea ndio ungejua kuwa anachemka na leo kajionyesha zaidi kuwa ni mtu hatari wa mabaya.
Mtanyooka tu
Pole Mzee wa NDIYOOOOAcha kuchochea, karudi jimboni kwake ulitegemea iweje!?
Tena hao mbona sio wanamtama wote. Ungeona wenzake wa CCM waliokaa meza kuu, walivyokuwa hawampigii makofi kwa mengi aliyoongea ndio ungejua kuwa anachemka na leo kajionyesha zaidi kuwa ni mtu hatari wa mabaya.
Mtanyooka tu
Phd ya kubangua korosho"Tulipigana tukiamini Tanzania iko salama chini ya Chama Cha Mapinduzi, bado nina amini Tanzania bado itakuwa salama kama Watanzania hususani vijana watasimama kusema ukweli, akikosea mtu hata awe mkubwa mpaka Mbiguni akikosea lazima aambiwe ukweli" Nape Nnauye
Idadi ya wanaomtolea uvivu dikteta uchwara inazidi kuongezeka tu. I hope hii trend itazidi kushamiri na huyu jamaa kukosa support kabisa ya kuendelea kuwa Rais wa nchi kama akiamua kuendelea na udikteta uchwara wake wa kudharau Bunge na katiba na pia kutotaka kumsikiliza yeyote yule kwa sababu tu ana Phd yake uchwara ya kubangua korosho hivyo kujiona anajua sana kuliko yeyote yule nchini.
Alutta continua! continua!
Hii ni mila ya kwao wamakonde msichanganye na siasa.Mh. Nape namna alivyopokelewa na akina mama ambao walikubali kulala chini ili apite juu yao kuelekea sehemu iliyoandaliwa mkutano.
View attachment 492931View attachment 492933
Nimekuwa nikiamini watu muko analytical kwa muda mrefu, lakini kumbe mukiguswa kwenye channel zenu, hata reasoning inaondoka. Nawe umeingia kundi hili linaloamini Rais huyu anakosea kuliko aliyepita!
Tulikotoka ambako hata Ditopile aliachiwa akaingia mtaani hata baada ya kuua!
Watu walikokuwa wakibeba viroba vya pesa!
Wenye UKIMWI wakiambiwa ni kujitakia! Watoto wanaopata mimba wakiambiwa ni kihelehele chao!
Tulikokaa chini tangu darasa la kwanza hadi la 7!
Rais aliyesema hajui kwa nini waTZ ni maskini!
n.k.
Kubalini kwamba rais siyo komedi anayemfurahisha kila mutazamaji. Wengine fuateni kwa lazima bila kujali nini unafanya kujikimu maisha yako.
... This is so sad, nevertheless usiwadharau na kuwaita nyunguru hao ni mama zetu hata kama hawajatuzaa...Kakanyaga Hzo nyunguru kapita, siwezi kumruhusu mamangu
Sisi watanzania tummelogwa na aliyetuloga amekufa,mapokezi ya Nape sio kitu cha ajabu.Chenge,Rostam walishapata mapokezi kama yale baada ya kutuhumiwa kwenye shutuma za ufisadi,wanachama wa Yanga walimpigia magoti Manji kumlazimisha agombee uenyekiti wa YangaHuyu bwana akiendelea hivi ni wazi 2020 atakataliwa vibaya sana sio na wafuasi wa vyama vya upinzani tu,bali hata wana-CCM wenzake.
Huyu mh. asiposoma alama za nyakati na kujirekebisha,anaweza kuambulia asilimia 40 ya kura zote zitakazopigwa na hata asilimia 35 kabisa.
Ule umati mkubwa uliojitokeza ulikuwa unatuma salam kwake kuwa mbunge wao ni shujaa na zaidi hakutendewa haki.Hii ni dalili mbaya sana kwa mkulu.
Narudia,Bashite ana play role ya Mohamed Bouazizi ya kuleta mabadiliko ya kiutawala nchini kama ambavyo Bouazizi alivyokuwa chanzo cha mabadiliko nchini kwake Tunisia na baadae katika ulimwengu wa nchi kadhaa za kiarabu.
Bahati mbaya sikio la kufa halisikii dawa.
Time will tell.