Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

We we bora ukae kimya..kwani marinda yamekaza...au yamelegea..
Acha kuchochea, karudi jimboni kwake ulitegemea iweje!?

Tena hao mbona sio wanamtama wote. Ungeona wenzake wa CCM waliokaa meza kuu, walivyokuwa hawampigii makofi kwa mengi aliyoongea ndio ungejua kuwa anachemka na leo kajionyesha zaidi kuwa ni mtu hatari wa mabaya.

Mtanyooka tu
 
Karudi akitokea wapi?
 
Hivi kumbe hawa jamaa walitumia sabuni kabisa kudeki barabara?

Daaah..! Ni afadhali hawa aisee  
79a7f2ea4fcec83d7df0b6e89902bed4.jpg
90320ce97e40add4d86e2e5b0ab446e4.jpg
 
Huyo halilii madaraka,anauchungu namna alivyotendewa na mwenyekiti wa chama ..Hasa alipokumbuka nikiasi gani alipigania chama chake uchaguzi ulo pita 2015.. mungu akutangulie Nape..Umepigana vilivyo..Tunaojua ulifanya yaliyo makuu kwa kusimamia haki..Tuna sema you are a hero..God protect you....
Hakuna aliyewahi kikipigania chama chake hapa nchini kama mzee wetu Dr. W.Silaa.
 
Hahahahaaaa! Wamakonde nyege Zimewajaaa hawa. Tena wametoka Dar es salaam na wengine hapo nimewatambua. Bonge la movie!
 
Acha kuchochea, karudi jimboni kwake ulitegemea iweje!?

Tena hao mbona sio wanamtama wote. Ungeona wenzake wa CCM waliokaa meza kuu, walivyokuwa hawampigii makofi kwa mengi aliyoongea ndio ungejua kuwa anachemka na leo kajionyesha zaidi kuwa ni mtu hatari wa mabaya.

Mtanyooka tu
hata haya huna mtoto wakike..mishipa umetoa lkn unaongea utumbo ili uonekane umecomment. .ovyo kbsa
 
Kinachomliza ni jinsi watu walivyojitokeza kwa wingi kumuonyesha kwamba bado wanamuunga mkono.
Pia nahisi anakumbuka alivyotumia faulu nyingi kipindi cha kampeni akitarajia atalindwa muda wote na aliowapigania! Hii inatoa fundisho fulani ambalo siyo zuri kwa wale wa aina yake waliobakia uongozini! JK alikuwa tofauti sana,kwani aliowateua,aliwaheshimu na kuwaamini nao wakajiamini. Anyway,administration is not always smooth as we might think!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mpumbavu huyu, kwa ujinga wake kaondolewa cheoni analia

ahame chama aende chadema kisha agombee, huwezi kuwa mpinzani wa bosi wako ukaangaliwa, yeye nani??

walijiandaa kuuondoa magufuli amegunduliwa mapema sana

na leo kathibitisha kuwa Magufuli hakukosea kabisa kabisa!

kama alikuwa na majibu ya kamati kwa nini aliunda kamati? alikuwa anampumbaza nani? mpuuzi huyu

na ndio mwisho wake, mark my words

mozes nnauye hakuwa mjinga hivi
We mpiga tarumbeta tu hapa JF. Nape si size yako na CCM inawenyewe. Ulijue hilo
 
hao watu wote hawakufanya kazi siku hiyo ! na hakuna kipya wamesikia au wamejadili maendeleo ya jimbo lao - ni majungu tu ndio yamepigwa na watu wakatawanyika
 
We mpiga tarumbeta tu hapa JF. Nape si size yako na CCM inawenyewe. Ulijue hilo

mkuu wewe mgeni humu nini? pole

mimi sio CCM na wao wanajua!!

dudu CCM lilivyo haina mwenyewe!! kama sivyo Lowassa asingeondoka, wala Nyerere asingeweza kushindwa kumueka rais wake, mkapa hakuweza kumuweka rais wake

Nape aende chadema, atafanya siasa nzuri , CCM kaishaharibu, bosi wake ndie mwenyekiti wake

kumbuka awamu ya pili JK alipiga kampeni na familia yake tu!!! Magu atafanya hivyo na kwa sababu tume ni yao atashinda

epuka kutokuwa mkweli, na mtu akitofautiana na wewe usimchukulie yuko upande mwingine,

watanzania mmekuwa mazombie kwa kweli
 
Back
Top Bottom