Sisi wapiga kura wako hapa jimboni Mtama tunakupenda sana.
Lakini wewe kama Kiongozi wetu (Mbunge) hukutakiwa kukubali huu ujinga.
Haiwezekani ukawafanyia kina mama huu upuuzi hata kama wao walikuwa tayari.
Kumbuka kuwa wewe ni kiongozi tena wa kisiasa ambaye ulitakiwa kufikiria kwanza haki za binadamu.
View attachment 2693829