Video: Ndege ya kivita ya Israel kwenye anga la Iran!

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
836
Reaction score
2,805
Hiyo ni video ya leo ndege ya F 35 Ikionekana ikiambaa ambaa anga la iran ikicheza alafu ikapotea[emoji23][emoji23][emoji23]

Namna iran ilivyokuwa inajisifia na ilivyobondwa aibu sana

Mtu kaingia nchi yako kauwa hadi mkuu wa majeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tarehe 13 Juni 2025 imeripotiwa kuwa Ndege za Kivita za Israel zinabalizi kwenye baadhi ya mitaa ya anga la
Iran.

Hivi hizi ndege zinaendeshwa na marubani au roboti?

Kama ni marubani basi wana roho ngumu mana si kunakulipuliwa au hizo ndege hazilipuki kirahisi?
 
Iran imejichimbia kaburi yenyewe. Kitendo cha uongozi kuwa na mabavu ndani ya nchi. Kinawafanya wananchi kutoa siri kwa wabaya wake. Yaani Israel anaijua Iran kama kiganja cha mkono wake. Iran inanyonga wananchi wengi sana kwa mwaka, kuwa ndiyo wauza ramani, ila siyo, wauza ramani wakishauza wanatambaa.

Tukija kwenye mifumo, kweli una uhasama wa kudumu na nchi nyingine, huna vitu vya kuzuia kupigwa? Watu muhimu wanaishi nyumba zinazojulikana hadi chumba anacholala!!! Iran kanichosha kwa kweli.
 
Iran sio mwarabu madam wangu mzuri
 
Hiyo ni video ya leo ndege ya F 35 Ikionekana ikiambaa ambaa anga la iran ikicheza alafu ikapotea[emoji23][emoji23][emoji23]

Namna iran ilivyokuwa inajisifia na ilivyobondwa aibu sana

Mtu kaingia nchi yako kauwa hadi mkuu wa majeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tarehe 13 Juni 2025 imeripotiwa kuwa Ndege za Kivita za Israel zinabalizi kwenye baadhi ya mitaa ya anga la
Iran.

Hiyo fidiu (video)ni polopanda tu.Usiamini.🫸🫷😝😝😝
 
Idara ya usalama ya USA wametoa notice Kwa raia wake wote waishio Iran na wale ambao wanataka kwenda nchi hiyo kusitisha na raia wake waliopo Iran wameambia waondoke haraka Sana au wajifiche, hatujui kuna kitu gani kitakuja usiku Leo Huko iran
The U.S. State Department has released an updated travel alert for Iran, stating that U.S. citizens should not travel to Iran for any reason and should depart Iran immediately if you are there. U.S. citizens who are unable to depart Iran should shelter-in-place until further notice.
20250613_191315.jpg
 
Back
Top Bottom