Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Bikira Latifa Nina shida njoo inbox basi, sio masuala ya kutongozana lakini
Baada ya vibaraka - Hamas, Hezbollah, Houthi, ISIS... kudhibitiwa, wacha na Ayatollah mfadhili wao anyooshwe sasaVideo: Ndege ya kivita ya Israel kwenye anga la Iran!
Itakuwa B-52 Bombers yashawasili huko ME tayari kwa kazi. Shughuli ya yale madude siyo ya kitotoIdara ya usalama ya USA wametoa notice Kwa raia wake wote waishio Iran na wale ambao wanataka kwenda nchi hiyo kusitisha na raia wake waliopo Iran wameambia waondoke haraka Sana au wajifiche, hatujui kuna kitu gani kitakuja usiku Leo Huko iran
Kwamba jamaa nasikia wakashuka kidogo wakala msosi kitaa alafu walarudi zao. Majamaa yana madharau mbayaHiyo ni video ya leo ndege ya F 35 Ikionekana ikiambaa ambaa anga la iran ikicheza alafu ikapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
Namna iran ilivyokuwa inajisifia na ilivyobondwa aibu sana
Mtu kaingia nchi yako kauwa hadi mkuu wa majeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 13 Juni 2025 imeripotiwa kuwa Ndege za Kivita za Israel zinabalizi kwenye baadhi ya mitaa ya anga la
Iran.
Tumswalie
bora hata nyeti ya kuku kuliko ya mbuzi angalau imefunikwa na manyoyaIrani ni nchi kama nyeti za mbuzi zilivyo?
Hakuna ulinzi wowote hata nzi anapapasa tu hizo nyeti
TakbiirHiyo ni video ya leo ndege ya F 35 Ikionekana ikiambaa ambaa anga la iran ikicheza alafu ikapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
Namna iran ilivyokuwa inajisifia na ilivyobondwa aibu sana
Mtu kaingia nchi yako kauwa hadi mkuu wa majeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 13 Juni 2025 imeripotiwa kuwa Ndege za Kivita za Israel zinabalizi kwenye baadhi ya mitaa ya anga la
Iran.
We mchoraji mbinguni utapasikia tu 🤣😂🤣 si kwa hivi vikatuniIsrail ndio dume la mbegu pekee apo Mashariki ya katii... Ukijikuna tu unachezea maboro fc!
View attachment 3367137