bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 836
- 2,805
Tulia tuone nani kaacha kitovu nnje anasubiri bwana amfunikeπ€ wakati kidume tayari ameshavimbaπ€Irani ni nchi kama nyeti za mbuzi zilivyo?
Hakuna ulinzi wowote hata nzi anapapasa tu hizo nyeti
Hivi hizi ndege zinaendeshwa na marubani au roboti?Hiyo ni video ya leo ndege ya F 35 Ikionekana ikiambaa ambaa anga la iran ikicheza alafu ikapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
Namna iran ilivyokuwa inajisifia na ilivyobondwa aibu sana
Mtu kaingia nchi yako kauwa hadi mkuu wa majeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 13 Juni 2025 imeripotiwa kuwa Ndege za Kivita za Israel zinabalizi kwenye baadhi ya mitaa ya anga la
Iran.
Mwamed π€£π€£π€£Tumswalie Nani vile....
Iran sio mwarabu madam wangu mzuriIran imejichimbia kaburi yenyewe. Kitendo cha uongozi kuwa na mabavu ndani ya nchi. Kinawafanya wananchi kutoa siri kwa wabaya wake. Yaani Israel anaijua Iran kama kiganja cha mkono wake. Iran inanyonga wananchi wengi sana kwa mwaka, kuwa ndiyo wauza ramani, ila siyo, wauza ramani wakishauza wanatambaa.
Tukija kwenye mifumo, kweli una uhasama wa kudumu na nchi nyingine, huna vitu vya kuzuia kupigwa? Watu muhimu wanaishi nyumba zinazojulikana hadi chumba anacholala!!! Iran kanichosha kwa kweli.
Wapi tena nimetaja au kuandika ni waarabu? π π π umeshakunywa? Hao waajemiIran sio mwarabu madam wangu mzuri
Nakunywa madamu wangu mzuriπWapi tena nimetaja au kuandika ni waarabu? π π π umeshakunywa? Hao waajemi
Hiyo fidiu (video)ni polopanda tu.Usiamini.π«Έπ«·πππHiyo ni video ya leo ndege ya F 35 Ikionekana ikiambaa ambaa anga la iran ikicheza alafu ikapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
Namna iran ilivyokuwa inajisifia na ilivyobondwa aibu sana
Mtu kaingia nchi yako kauwa hadi mkuu wa majeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 13 Juni 2025 imeripotiwa kuwa Ndege za Kivita za Israel zinabalizi kwenye baadhi ya mitaa ya anga la
Iran.