Video: Ndege ya kivita ya Israel kwenye anga la Iran!

Bikira Latifa Nina shida njoo inbox basi, sio masuala ya kutongozana lakini
 
Idara ya usalama ya USA wametoa notice Kwa raia wake wote waishio Iran na wale ambao wanataka kwenda nchi hiyo kusitisha na raia wake waliopo Iran wameambia waondoke haraka Sana au wajifiche, hatujui kuna kitu gani kitakuja usiku Leo Huko iran
Itakuwa B-52 Bombers yashawasili huko ME tayari kwa kazi. Shughuli ya yale madude siyo ya kitoto
 
Kwamba jamaa nasikia wakashuka kidogo wakala msosi kitaa alafu walarudi zao. Majamaa yana madharau mbaya
 
Takbiir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…