Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Kwa namna utawala wa sheria ulivyo weak hapa kwetu kuna kipindi kitafika hawa jamaa watakuwa ni untouchables. Mzawa utafanywa chochote in expense ya fedha zao.
Weak system ni tatizo lenu sio wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa namna utawala wa sheria ulivyo weak hapa kwetu kuna kipindi kitafika hawa jamaa watakuwa ni untouchables. Mzawa utafanywa chochote in expense ya fedha zao.
Kama unawapenda WACHINA wapeleke kwako au kijijini kwenu. Hao watu ni wabaguzi sana na uwekezaji wao umejikita katika kujinufaisha wao tu.Sasa wewe inakuuma nini? kama vp na wewe nenda china ukatawale mitaa ya Guangzhou. Huu ndio kiashiria cha ubaguzi wenyewe sasa.
Kwani mwenzetu we si mwafrika? Tu fait pitié lolUnawaona wachina tu,ila husemi kuhusu wahindi kukamata asilimia 80 ya uchumi wenu.mitaa ya katikati ina maghorofa zaidi ya mia na yamejaa wahindi tu.miafrika bana
Mi5tenaWakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.
Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.
Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao
Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu
Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.
Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Chuki humchoma anayezihifadhi Fid Q alisemaMimi wachina nawachukia sana kabisa
Hukuna muwekezaji yoyote hata wazaww pia mwenye nia kukunufaisha wewe! Hapo sasa ni sera za nchi kuangaliwa upya na kama hufahamu kuna waTz kibao wamenufaika kupitia hao jamaa. Na karne hii mchina ni kama maji ngumu sana kumkataa.Kama unawapenda WACHINA wapeleke kwako au kijijini kwenu. Hao watu ni wabaguzi sana na uwekezaji wao umejikita katika kujinufaisha wao tu.
Nani huyo asiyekuwa mzaliwa wa Marekani akawa Rais wao?WaTanzania wengi hatuna exposure, vitu vidogo kama hivi mtu anajiropokea tu pasipo kutafakari kwa kina.
Naungana na wewe kwa Dunia ya Sasa huwezi kukwepa kitu kama hivyo. USA ile tunayo iona Leo imejengwa na wageni, tumeshuhudia mtu ambaye siyo mzaliwa wa Marekani akawa Rais ndiyo ujiulize ni Kwa namna gani wenzetu wanawatazama wahamiaji kama fursa.
Kigumu hapa Serikari iwatumie hawa wageni kama fursa hasa kwenye swala Zima la Creative and Innovative.
Kuna watu hawatembei labda wanadhani hii ni Tanzania tu hata huko majuu iko mitaa mpaka jina China Town, Singapore kuna sehemu Arab street kuna India street wamejaa nenda hapo Dubai tu Deira yote ni wahindi, Afghan na makabila chungu nzima hukuti mwarabu mpaka wa China. Ndani ya Dubai mpaka China Mall sasa hapa la ajabu nini? ndio dunia ilivyo ukiwa wewe umelala fursa zipo wanakuja watu wanafanya biashara. Tuache kuleta mambo ya miaka ya 80 huko. Na uhakika na nchi nyingi tu duniani lazima utakuta hali hii.mtu mweusi hua ni mbaguzi sema ngozi yake inakua kama kinga ikiguswa. kwa marekani wanaita reverse racism.
ulichoandika hapa unaonesha wewe ni mbinafsi na mbaguzi
hiyo mitaa uliyotaja hakuna wachina wengi kias hiko umekuza jambo ili upate attention
Ukitaka kufunga biashara yako mwaka tu wewe ajiri wa Tanzania utakuja kuniambia hapa, uaminifu zerooooooo na hawa wanapewa intelligence ya kibiashara kabla ya kufungua biashara zao.Hukuna muwekezaji yoyote hata wazaww pia mwenye nia kukunufaisha wewe! Hapo sasa ni sera za nchi kuangaliwa upya na kama hufahamu kuna waTz kibao wamenufaika kupitia hao jamaa. Na karne hii mchina ni kama maji ngumu sana kumkataa.
Mkuu Heijah umeliweka vizuri sana. Wachina ni kama maji usipoyanywa utayaoga. Na yanayotokea hapa siyo mageni duniani, China effect ipo dunia nzima.Kuna watu hawatembei labda wanadhani hii ni Tanzania tu hata huko majuu iko mitaa mpaka jina China Town, Singapore kuna sehemu Arab street kuna India street wamejaa nenda hapo Dubai tu Deira yote ni wahindi, Afghan na makabila chungu nzima hukuti mwarabu mpaka wa China. Ndani ya Dubai mpaka China Mall sasa hapa la ajabu nini? ndio dunia ilivyo ukiwa wewe umelala fursa zipo wanakuja watu wanafanya biashara. Tuache kuleta mambo ya miaka ya 80 huko. Na uhakika na nchi nyingi tu duniani lazima utakuta hali hii.
Kwani tatizo nini mkuu. Tuache akili za kijamaa jamaa ulimwengu ni kijiji mkuu. Mbona husemi wahindi na wakenya ambao.kila mwaka wanadaboWakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.
Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.
Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao
Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu
Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.
Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Wakenya machimbo yao ni wapi?, wahindi tunafahamu sana?Kwani tatizo nini mkuu. Tuache akili za kijamaa jamaa ulimwengu ni kijiji mkuu. Mbona husemi wahindi na wakenya ambao.kila mwaka wanadabo
Wakenya wapo wengi kuliko wagen wowote sema wengi sio biashara wala ground floor ndio maana hamuonani. Wako kibao maofisin hasa ya bima waalimu na maceoWakenya machimbo yao ni wapi?, wahindi tunafahamu sana?
Acha hizo dharau wewe au uliteta na Mungu akakuhakikishia kuwa hatawapa frusa ya kuishi Masaki au Mikocheni mpaka wanaingia kaburini.🥲wanalipa kodi au hawalipi? kama wanalipa, shida yako nini? wakati hata wasingekuja wewe au yule msingekuja kuishi masaki au mikocheni maisha yenu yote.
Kama dada zetu ni malaya tusiwalaumu wachina, tujiongeze kuwapatia mahitaji yao muhimu.Huko cha mtoto mbona fika Mkoa wa Pwani ujuonee halafu wanawazalisha mno dada zetu