VIDEO: Nimelia sana RPC-Tarime kuendelea Kutetea Askari walioua na ushahidi wa kina Upo

Truth Bot AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
307
Reaction score
731
Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza sana..

Itafika Kipindi wananchi watachoka Kuona uonevu huu Je tuko tayri kuona Wananchi wakireact na Kuamua Kuja Juu kisa uonevu wanaofanyiwa??
Je nchi yetu utakuwaje Siku ikifanyika CiVIL war Ya sisi kwa sisi??

USHAHIDI KUHUSU NISEMACHO
Hizi ni Video kadhaa siku ya Tukio Lilipofanyika..

Baada ya Tukio RPC AKATOA TAMKO BAADA YA TAMKO WANANCHI NAO WAKAONGEA..

KWAKUWA TUMEONA PANDE ZOTE MBILI KUNA VITU VYA KUCHUNGUZA NA KUVIANGALIA..

KINGINE ILIANZA NGORONGORO ,SASA TARIME WAPI WANAFUATA
 
Duhhh wapi tunakoelekea huku Uuuuuuuuuwiiiiii 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Kwenye hizo video bado hakuna ushahidi, kama ushahidi unao peleka Tume ya haki za binadamu na utawala bora.
 
sasa kama unajua ukweli si usaidie hao unaodhani wanadhulumiwa kwa kubainisha huo ukweli mahakamani 🐒

kulialia sio unyonge mzuri sana ndugu mwanainchi 🐒
 
Tukio limetokea Tarime na hapo Video ya mwisho RPC kaongea Na kaeleza mpaka Kijiji
Ujuwe mimi sina access ya kuangalia hizo video ndio maana nikakwambia muwe mnatowa summary.

Ila kama ni kule kwenye mgodi wa dhahabu wananchi ndio tatizo.
 
Nyamongo hapo North Mara mbona watu hufa kila siku, sidhani kama hicho ndio kifo cha kwanza hapo nyamongo.

Intruder kuvamia hapo mgodini Kila siku ni kitu cha kawaida na hayo mapambano huwa ni ya kawaida tu hapo.

Solution hapo ni either mgodi usiwepo kwa maana ya Barrick waondoke au raia waache kuvamia mgodi na kwenda kuleta labsha Kwa maana kuingia kuokota mawe.

Raia wasipoacha kuingia hapo mgodini na Barrick wakiendelea kubaki hapo hivo vifo lazima viendelee kuwepo.
 
Shida wale jamaa wakishaingia kule ndani wakikurupushwa huwa inakuwa vita baina yao na polisi hata kusimamisha uchimbaji.

Lamsingi pale nyamongo ni either mgodi ufungwe raia waendelee na maisha Yao au raia waachane na biashara ya kuingia mgodini pale.

Geita, Bulyanhulu, na pale Kahama kuna migodi mikubwa lakini hakuna vifo vya Kila siku wala maugomvi baina ya raia na wenye mgodi au serikali.
Pale nyamongo vijana wanakufa sana sio Kwa kupigwa tu risasi na polisi bali hata wenyewe kuuana na kuanguka kwenye mawe huko.

Pamoja na mapungufu kwenye uwekezaji na serikali lakini pia ile jamii pale Ina matatizo makubwa sana, naamini hata kesho ule mgodi ufungwe na waambiwe sasa wenyewe wachimbe bado shida itakuwa palepale maana hata wenyewe kwa wenyewe huuana sana na kuumizana mitaani kwa mambo ya kijinga kijinga sana.
 
Du,ndugu yangu maisha haya
ndio,
maisha ni kupambana kweli kweli, tena kwa bidii sana, na kusaidiana kwa maneno na vitendo field, pale inapowezekana ikibidi 🐒

kulia na kusikitika haitasaidia yeyote popote, zaidi sana kuwaongezea huzuni wahusika 🐒
 
Kumbe ni mgodini? hao raia si ndio wanavamia mgodi na wanajuwa Polisi wamekodiwa wanalinda kwa silaha za moto?

Kuna taarifa ya kupanuwa mgodi hayo maprimitive yamekwenda kununuwa viwanja wamejenga ili walipwe pesa nyingi.
 
Serikali iingilie kati,itoe elimu kubwa sana na ikiwezekana tuangalie nani abaki kati ya mgodi au watu
 
ndio,
maisha ni kupambana kweli kweli, tena kwa bidii sana, na kusaidiana kwa maneno na vitendo field, pale inapowezekana ikibidi 🐒

kulia na kusikitika haitasaidia yeyote popote, zaidi sana kuwaongezea huzuni wahusika 🐒
Sawa mkuuu ila kuna mwamba hapo juu ametoa conclusion nzuri tu,mgodi ufungwe raia wishing au raia hawamishwe kupisha mgodi
 
Kumbe ni mgodini? hao raia si ndio wanavamia mgodi na wanajuwa Polisi wamekodiwa wanalinda kwa silaha za moto?

Kuna taarifa ya kupanuwa mgodi hayo maprimitive yamekwenda kununuwa viwanja wamejenga ili walipwe pesa nyingi.
wenyewe wanaita "tegesha", ndio unamsikia huyo Mzee aliyefiwa na mwanawe anasema walipwe wahame.

Ile jamii pamoja na yote inapaswa pia kujitafakari pale, bado Wana mambo ya ajabu ajabu sana.
 
Shida wale jamaa wakishaingia kule ndani wakikurupushwa huwa inakuwa vita baina yao na polisi hata kusimamisha uchimbaji.

Lamsingi pale nyamongo ni either mgodi ufungwe raia waendelee na maisha Yao au raia waachane na biashara ya kuingia mgodini pale.

Geita, Bulyanhulu, na pale Kahama kuna migodi mikubwa lakini hakuna vifo vya Kila siku wala maugomvi baina ya raia na wenye mgodi au serikali.
Pale nyamongo vijana wanakufa sana sio Kwa kupigwa tu risasi na polisi bali hata wenyewe kuuana na kuanguka kwenye mawe huko.

Pamoja na mapungufu kwenye uwekezaji na serikali lakini pia ile jamii pale Ina matatizo makubwa sana, naamini hata kesho ule mgodi ufungwe na waambiwe sasa wenyewe wachimbe bado shida itakuwa palepale maana hata wenyewe kwa wenyewe huuana sana na kuumizana mitaani kwa mambo ya kijinga kijinga sana.
natamani mtoa hoja, mwenye huruma apate ufahamu na uelewa huu mujarabu sana kwa kifupi juu ya maisha na songombingo na namna wanavyoishi watu wa eneo husika🐒

asanti sana kwa very brief but interesting info concerning the area 🐒
 
Back
Top Bottom