VIDEO: Nimelia sana RPC-Tarime kuendelea Kutetea Askari walioua na ushahidi wa kina Upo

VIDEO: Nimelia sana RPC-Tarime kuendelea Kutetea Askari walioua na ushahidi wa kina Upo

Shida wale jamaa wakishaingia kule ndani wakikurupushwa huwa inakuwa vita baina yao na polisi hata kusimamisha uchimbaji.

Lamsingi pale nyamongo ni either mgodi ufungwe raia waendelee na maisha Yao au raia waachane na biashara ya kuingia mgodini pale.

Geita, Bulyanhulu, na pale Kahama kuna migodi mikubwa lakini hakuna vifo vya Kila siku wala maugomvi baina ya raia na wenye mgodi au serikali.
Pale nyamongo vijana wanakufa sana sio Kwa kupigwa tu risasi na polisi bali hata wenyewe kuuana na kuanguka kwenye mawe huko.

Pamoja na mapungufu kwenye uwekezaji na serikali lakini pia ile jamii pale Ina matatizo makubwa sana, naamini hata kesho ule mgodi ufungwe na waambiwe sasa wenyewe wachimbe bado shida itakuwa palepale maana hata wenyewe kwa wenyewe huuana sana na kuumizana mitaani kwa mambo ya kijinga kijinga sana.
Aiseee Nimeelewa sana sasa
 
Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza sana..

Itafika Kipindi wananchi watachoka Kuona uonevu huu Je tuko tayri kuona Wananchi wakireact na Kuamua Kuja Juu kisa uonevu wanaofanyiwa??
Je nchi yetu utakuwaje Siku ikifanyika CiVIL war Ya sisi kwa sisi??

USHAHIDI KUHUSU NISEMACHO
Hizi ni Video kadhaa siku ya Tukio Lilipofanyika..

View attachment 2984307
View attachment 2984306
View attachment 2984304

View attachment 2984305

View attachment 2984303

Baada ya Tukio RPC AKATOA TAMKO BAADA YA TAMKO WANANCHI NAO WAKAONGEA..

View attachment 2984331

KWAKUWA TUMEONA PANDE ZOTE MBILI KUNA VITU VYA KUCHUNGUZA NA KUVIANGALIA..

KINGINE ILIANZA NGORONGORO ,SASA TARIME WAPI WANAFUATA
Ila Tanzanian tunaujinga elimu haijatukomboa kuanzia viongozi hadi wananchi sasa kwanini makazi ya watu yapo karibu na mgodi hivyo kwanini serikali ikubali watu kujenga maeneo hayo kama mgodi ndio ulianza ilikuwaje watendaji wakaruhusu pia watu wajenge maeneo hayohayo au kama makazi ndio yalianza ilikuwaje serikali ikakubali mgodi uanze kazi na makazi ya watu yakiwepo maeneo hayo hayo..
hivi vitu kweli navyo ni vya kusubili kuunda tume kweli jamani..!
 
Shida wale jamaa wakishaingia kule ndani wakikurupushwa huwa inakuwa vita baina yao na polisi hata kusimamisha uchimbaji.

Lamsingi pale nyamongo ni either mgodi ufungwe raia waendelee na maisha Yao au raia waachane na biashara ya kuingia mgodini pale.

Geita, Bulyanhulu, na pale Kahama kuna migodi mikubwa lakini hakuna vifo vya Kila siku wala maugomvi baina ya raia na wenye mgodi au serikali.
Pale nyamongo vijana wanakufa sana sio Kwa kupigwa tu risasi na polisi bali hata wenyewe kuuana na kuanguka kwenye mawe huko.

Pamoja na mapungufu kwenye uwekezaji na serikali lakini pia ile jamii pale Ina matatizo makubwa sana, naamini hata kesho ule mgodi ufungwe na waambiwe sasa wenyewe wachimbe bado shida itakuwa palepale maana hata wenyewe kwa wenyewe huuana sana na kuumizana mitaani kwa mambo ya kijinga kijinga sana.
@ Dr. Doroth Gwajima inabidi aweke kambi na timu yake pale, kuna jambo l kuiwezesha hii jamii.9
 
ndio,
maisha ni kupambana kweli kweli, tena kwa bidii sana, na kusaidiana kwa maneno na vitendo field, pale inapowezekana ikibidi 🐒

kulia na kusikitika haitasaidia yeyote popote, zaidi sana kuwaongezea huzuni wahusika 🐒
Kufa kuuwawa kwa mwanadam kitu cha kawaida sahvi,au siyo kamanda au unasemaje

Ova
 
Kufa kuuwawa kwa mwanadam kitu cha kawaida sahvi,au siyo kamanda au unasemaje

Ova
sifahamu mkuu 🐒

ila uhakika ni kwamba mwili wako na wangu vitaliwa mchangani, hakuna sababu ya kuringa, na kujipa umuhimu wa kipekee zaidi ya binadamu 🐒
 
sifahamu mkuu 🐒
ndy hivyo watu wamekuwa na roho mbaya makatili shetani mwenyewe anasubiri,ukingia kwenye 18 zao wao kukutoa uhai
Siyo issue
uhai hauna thamani sahvi
Ushauri tu hao watu waliyokuwa jirani na mgodi wajiondokee
la sivyo watashugulikiwa sana na watazika sanaaaa tu

ova
 
for sure,
ni afadhalli kuishi huna kitu lakini una amani, kuliko kuishi au kupambana katika mazingira ambayo uhai wako uko mashakani 🐒
 
Back
Top Bottom