Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza sana..
Itafika Kipindi wananchi watachoka Kuona uonevu huu Je tuko tayri kuona Wananchi wakireact na Kuamua Kuja Juu kisa uonevu wanaofanyiwa??
Je nchi yetu utakuwaje Siku ikifanyika CiVIL war Ya sisi kwa sisi??
USHAHIDI KUHUSU NISEMACHO
Hizi ni Video kadhaa siku ya Tukio Lilipofanyika..
Your browser is not able to display this video.

Baada ya Tukio RPC AKATOA TAMKO BAADA YA TAMKO WANANCHI NAO WAKAONGEA..
Your browser is not able to display this video.
KWAKUWA TUMEONA PANDE ZOTE MBILI KUNA VITU VYA KUCHUNGUZA NA KUVIANGALIA..
Nyamongo hapo North Mara mbona watu hufa kila siku, sidhani kama hicho ndio kifo cha kwanza hapo nyamongo.
Intruder kuvamia hapo mgodini Kila siku ni kitu cha kawaida na hayo mapambano huwa ni ya kawaida tu hapo.
Solution hapo ni either mgodi usiwepo kwa maana ya Barrick waondoke au raia waache kuvamia mgodi na kwenda kuleta labsha Kwa maana kuingia kuokota mawe.
Raia wasipoacha kuingia hapo mgodini na Barrick wakiendelea kubaki hapo hivo vifo lazima viendelee kuwepo.
Shida wale jamaa wakishaingia kule ndani wakikurupushwa huwa inakuwa vita baina yao na polisi hata kusimamisha uchimbaji.
Lamsingi pale nyamongo ni either mgodi ufungwe raia waendelee na maisha Yao au raia waachane na biashara ya kuingia mgodini pale.
Geita, Bulyanhulu, na pale Kahama kuna migodi mikubwa lakini hakuna vifo vya Kila siku wala maugomvi baina ya raia na wenye mgodi au serikali.
Pale nyamongo vijana wanakufa sana sio Kwa kupigwa tu risasi na polisi bali hata wenyewe kuuana na kuanguka kwenye mawe huko.
Pamoja na mapungufu kwenye uwekezaji na serikali lakini pia ile jamii pale Ina matatizo makubwa sana, naamini hata kesho ule mgodi ufungwe na waambiwe sasa wenyewe wachimbe bado shida itakuwa palepale maana hata wenyewe kwa wenyewe huuana sana na kuumizana mitaani kwa mambo ya kijinga kijinga sana.

natamani mtoa hoja, mwenye huruma apate ufahamu na uelewa huu mujarabu sana kwa kifupi juu ya maisha na songombingo na namna wanavyoishi watu wa eneo husikaπ
asanti sana kwa very brief but interesting info concerning the area π