VIDEO: Nimelia sana RPC-Tarime kuendelea Kutetea Askari walioua na ushahidi wa kina Upo

Aiseee Nimeelewa sana sasa
 
Ila Tanzanian tunaujinga elimu haijatukomboa kuanzia viongozi hadi wananchi sasa kwanini makazi ya watu yapo karibu na mgodi hivyo kwanini serikali ikubali watu kujenga maeneo hayo kama mgodi ndio ulianza ilikuwaje watendaji wakaruhusu pia watu wajenge maeneo hayohayo au kama makazi ndio yalianza ilikuwaje serikali ikakubali mgodi uanze kazi na makazi ya watu yakiwepo maeneo hayo hayo..
hivi vitu kweli navyo ni vya kusubili kuunda tume kweli jamani..!
 
@ Dr. Doroth Gwajima inabidi aweke kambi na timu yake pale, kuna jambo l kuiwezesha hii jamii.9
 
ndio,
maisha ni kupambana kweli kweli, tena kwa bidii sana, na kusaidiana kwa maneno na vitendo field, pale inapowezekana ikibidi πŸ’

kulia na kusikitika haitasaidia yeyote popote, zaidi sana kuwaongezea huzuni wahusika πŸ’
Kufa kuuwawa kwa mwanadam kitu cha kawaida sahvi,au siyo kamanda au unasemaje

Ova
 
Kufa kuuwawa kwa mwanadam kitu cha kawaida sahvi,au siyo kamanda au unasemaje

Ova
sifahamu mkuu πŸ’

ila uhakika ni kwamba mwili wako na wangu vitaliwa mchangani, hakuna sababu ya kuringa, na kujipa umuhimu wa kipekee zaidi ya binadamu πŸ’
 
sifahamu mkuu πŸ’
ndy hivyo watu wamekuwa na roho mbaya makatili shetani mwenyewe anasubiri,ukingia kwenye 18 zao wao kukutoa uhai
Siyo issue
uhai hauna thamani sahvi
Ushauri tu hao watu waliyokuwa jirani na mgodi wajiondokee
la sivyo watashugulikiwa sana na watazika sanaaaa tu

ova
 
for sure,
ni afadhalli kuishi huna kitu lakini una amani, kuliko kuishi au kupambana katika mazingira ambayo uhai wako uko mashakani πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…