PostGE2025 Video nyingi za kutisha zitazidi kuwekwa wazi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Huko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.

Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya kufukiwa kuficha ushahidi.

Watu walichukua video na picha. Nimetonywa na vijana wangu wataziachia ila wanachukua tahadhari kwanza.

Pia wanadai mlinzi wa godown alikuwa akipigia ndugu simu waje wachek labda ndugu zao nao wapo humo. Huyo mlinzi naye katoweka hafahamiki alipo.

Japo haijathibitika ni tetesi tusibiri tu hizo video. Kwa sababu ni gumzo huko Tunduma.

Kama kuna mwanajamvi yoyote aliyopo Tunduma atuthibitishie.

Lakini hawa vijana wangu walionihabarisha nawaamini sana.
 
Kama una access na watu huko fanya kazi tukufu..... Hakikisha una-organize ili zitolewe. Kama wanaogopa kujulikana basi wazitume kwa Maria Sarungi kwa kificho na wamwambie kabisa akiziweka hadharani aliyepiga picha atajulikana hivyo azitunze kwanza bila kuziachia. Na wewe uwe na tahadhari, usitutulie line ya kawaida ya simu...
 
Labda wanahitaji strategy na namna ya kutuma. Naweza kuwapa ushauri about that
 
Huko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.

Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya kufukiwa kuficha ushahidi.

Watu walichukua video na picha. Nimetonywa na vijana wangu wataziachia ila wanachukua tahadhari kwanza.

Pia wanadai mlinzi wa godown alikuwa akipigia ndugu simu waje wachek labda ndugu zao nao wapo humo. Huyo mlinzi naye katoweka hafahamiki alipo.

Japo haijathibitika ni tetesi tusibiri tu hizo video. Kwa sababu ni gumzo huko Tunduma.

Kama kuna mwanajamvi yoyote aliyopo Tunduma atuthibitishie.

Lakini hawa vijana wangu walionihabarisha nawaamini sana.
Huo ni ushahidi tosha it was genocide. Ifikie mataifa na mashirika wajue ukweli
 
Sites ni nyingi sana za Kuondoa Meta Data kwenye Video au Picha

moja wapo ni metadata2go.com, Uki appload hapa inatoa data zote ndo unadownload tena, hakuna mtu atajua imepigwa wapi na nani

Au njia nyingine, Unajitumia kwenye watsup then una download, Watsup inatoa GPS, Phone details na Baadhi ya data
 
Namshauri Saa 100 aombe kupumzika sababu za Kiafya.....ushauri wa bure hiyo genovide utaongozaje nchi kwa mauaji hayo?? Hapana jiuzuru tu saa 100 utakumbukwa na historia.....nenda Mama .....utabiri utimiee.....umelikoroga mwenyewe
 
Back
Top Bottom