gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hawawezi zika kwenye makaburi ya halaiki, satellite ni rahisi kutambua,rejea makaburi ya halaiki ya rsf ya sudani huko al fasherHuko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya kufukiwa kuficha ushahidi.
Watu walichukua video na picha. Nimetonywa na vijana wangu wataziachia ila wanachukua tahadhari kwanza.
Pia wanadai mlinzi wa godown alikuwa akipigia ndugu simu waje wachek labda ndugu zao nao wapo humo. Huyo mlinzi naye katoweka hafahamiki alipo.
Japo haijathibitika ni tetesi tusibiri tu hizo video. Kwa sababu ni gumzo huko Tunduma.
Kama kuna mwanajamvi yoyote aliyopo Tunduma atuthibitishie.
Lakini hawa vijana wangu walionihabarisha nawaamini sana.
Habari yako ina element nyingi za uwongo