PostGE2025 Video nyingi za kutisha zitazidi kuwekwa wazi

PostGE2025 Video nyingi za kutisha zitazidi kuwekwa wazi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
pata picha watu hawakushika siraha na tumeuawa zaidi ya 10000 na vilema wa kutosha tukishika siraha si itakuwa hatari hawa maccm ni vichaa
Kumbuka katika hao 10,000 asilimia kubwa waliuliwa wakiwa mitaani na majumbani kwao, lazima kulipa kisasi kwa damu hizi zisizo na hatia.
 
..atakumbukwa kwa historia ipi, ya kuharibu uchaguzi kisha kuua watu? wala huyu si wa kumuita hayo majina, this s a devil in human face!
FB_IMG_1760422784966.jpg
VamP.jpg
 
Hawawezi zika kwenye makaburi ya halaiki, satellite ni rahisi kutambua,rejea makaburi ya halaiki ya rsf ya sudani huko al fasher
Habari yako ina element nyingi za uwongo
Wewe tushakuambia kipeleke kwa mumeo akipunguzie muwasho,unawashwa sana wewe,bahati mbaya hujui kama hujui

CCM hawana akili,ushahidi upo wanezika watu kwa makabuli ya haraiki,
 
Dunia imenyamaza wapalestina wanauawa tu
Inategemea na muuwaji ni nani.
Israel kajimilikisha dunia.
Superpower countries 2 (USA & Russia) wana watu wao wanaziendesha kwa background.
Uchumi wa dunia unaendeshwa na kumilikiwa na watu wao.
Technologies kubwa muhimu karibu zote kuna watu wao wamewekeza humo.
Serikali ya wamatumbi ina nini au nani wa kuwatisha walimwengu huko ICC?
 
Serikali ya Tanzania itawapa mabepari wanachotaka ili kusalia madarakani
 
Damn right since massacre na genocide ni the same but zimetofautiana in intent

Genocide inakuwa inalenga specific group wakati massacre inalenga defenceless individuals (mostly citizens)
Yeah, sahihi kabisa!
 
pata picha watu hawakushika siraha na tumeuawa zaidi ya 10000 na vilema wa kutosha tukishika siraha si itakuwa hatari hawa maccm ni vichaa
Katika hao 10,000 wewe haupo, unahisi umestahili sana?

Wanachojaribu kupigania ni kwamba isije ikatokea wakati mwingine tukauwawa kinyama hivi.
 
Katika hao 10,000 wewe haupo, unahisi umestahili sana?

Wanachojaribu kupigania ni kwamba isije ikatokea wakati mwingine tukauwawa kinyama hivi.
Sema hili swala inapidi lisipuuzwe ili asije kutokea kiongozi mwingine kuua watu hivi
 
Back
Top Bottom