Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Kama una access na watu huko fanya kazi tukufu..... Hakikisha una-organize ili zitolewe. Kama wanaogopa kujulikana basi wazitume kwa Maria Sarungi kwa kificho na wamwambie kabisa akiziweka hadharani aliyepiga picha atajulikana hivyo azitunze kwanza bila kuziachia. Na wewe uwe na tahadhari, usitutulie line ya kawaida ya simu...Huko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya kufukiwa kuficha ushahidi.
Watu walichukua video na picha. Nimetonywa na vijana wangu wataziachia ila wanachukua tahadhari kwanza.
Pia wanadai mlinzi wa godown alikuwa akipigia ndugu simu waje wachek labda ndugu zao nao wapo humo. Huyo mlinzi naye katoweka hafahamiki alipo.
Japo haijathibitika ni tetesi tusibiri tu hizo video. Kwa sababu ni gumzo huko Tunduma.
Kama kuna mwanajamvi yoyote aliyopo Tunduma atuthibitishie.
Lakini hawa vijana wangu walionihabarisha nawaamini sana.
Naupenda uhuru ila kwa hapo tulipofikia bora tuache maana tukiinukisha na watu wakishika siraha tuna miaka zaidi ya 10 ya kuuanaDisemba 9 tunakwenda kuupata uhuru wa Tanganyika
Labda wanahitaji strategy na namna ya kutuma. Naweza kuwapa ushauri about thatKama una access na watu huko fanya kazi tukufu..... Hakikisha una-organize ili zitolewe. Kama wanaogopa kujulikana basi wazitume kwa Maria Sarungi kwa kificho na wamwambie kabisa akiziweka hadharani aliyepiga picha atajulikana hivyo azitunze kwanza bila kuziachia. Na wewe uwe na tahadhari, usitutulie line ya kawaida ya simu...
The real Independence 👏Disemba 9 tunakwenda kuupata uhuru wa Tanganyika
Kabla hata ya hiyo Disemba 9, Watu wanauawa sana mtaani kwa miaka zaidi ya 8 sasaaNaupenda uhuru ila kwa hapo tulipofikia bora tuache maana tukiinukisha na watu wakishika siraha tuna miaka zaidi ya 10 ya kuuana
Huo ni ushahidi tosha it was genocide. Ifikie mataifa na mashirika wajue ukweliHuko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya kufukiwa kuficha ushahidi.
Watu walichukua video na picha. Nimetonywa na vijana wangu wataziachia ila wanachukua tahadhari kwanza.
Pia wanadai mlinzi wa godown alikuwa akipigia ndugu simu waje wachek labda ndugu zao nao wapo humo. Huyo mlinzi naye katoweka hafahamiki alipo.
Japo haijathibitika ni tetesi tusibiri tu hizo video. Kwa sababu ni gumzo huko Tunduma.
Kama kuna mwanajamvi yoyote aliyopo Tunduma atuthibitishie.
Lakini hawa vijana wangu walionihabarisha nawaamini sana.
Hapa ndipo patamu, hapa ndipo penye njia sahihi.Naupenda uhuru ila kwa hapo tulipofikia bora tuache maana tukiinukisha na watu wakishika siraha tuna miaka zaidi ya 10 ya kuuana
NaamThe real Independence 👏
pata picha watu hawakushika siraha na tumeuawa zaidi ya 10000 na vilema wa kutosha tukishika siraha si itakuwa hatari hawa maccm ni vichaaHapa ndipo patamu, hapa ndipo penye njia sahihi.
Maana tumedanganyana sana.Hapa ndipo patamu, hapa ndipo penye njia sahihi.
Potelea mbali. Waliouawa na kubakwa wengi walifuatwa mitaani kwaopata picha watu hawakushika siraha na tumeuawa zaidi ya 10000 na vilema wa kutosha tukishika siraha si itakuwa hatari hawa maccm ni vichaa
Na ndo itavyo kuwa 912Potelea mbali. Waliouawa na kubakwa wengi walifuatwa mitaani kwao