PostGE2025 Video nyingi za kutisha zitazidi kuwekwa wazi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hawawezi zika kwenye makaburi ya halaiki, satellite ni rahisi kutambua,rejea makaburi ya halaiki ya rsf ya sudani huko al fasher
Habari yako ina element nyingi za uwongo
 
Ila hiyo haiwezi kuwa termed as genocide! Hiyo inaitwa Masscre! Tuna viongozi mashetani kabisa!
Damn right since massacre na genocide ni the same but zimetofautiana in intent

Genocide inakuwa inalenga specific group wakati massacre inalenga defenceless individuals (mostly citizens)
 
Hii ungeipa uzi wake kabisa watanzania waate kaelimu kidg mzee
 
Wewe takataka kwani Sheikh Sharifu Majini alikua anaiba nini kabla ya kupigwa chuma October 30?

Unaweza fikiri uko salama ila vyie vidampa wa UVCCM nawaambieni kua risasi haichagui chama.
Wala dini
 
Hawawezi zika kwenye makaburi ya halaiki, satellite ni rahisi kutambua,rejea makaburi ya halaiki ya rsf ya sudani huko al fasher
Habari yako ina element nyingi za uwongo

Sasa unazani akili hizo wananzo?

Kama wanaweza kukataa Video ya Mwananyamara si watakataa hata hizo satellite images?

Wamesahau msemo wa wahenga kua ukivuliwa nguo sharti ni kuchutama, Wao bado wanataka kukimbia ona sasa kila nyeti inafunguliwa siku baada ya siku.

Pls, Mlioko kwenye nyazfa za Juu, Still it is not tool late, Rekebisheni mambo, Rudisheni Taifa kwenye mstari.

Hayatuka kuisha kienyeji kama mnavodhani.
 
Naupenda uhuru ila kwa hapo tulipofikia bora tuache maana tukiinukisha na watu wakishika siraha tuna miaka zaidi ya 10 ya kuuana
Ku.m..a la mama yako,kwa hio kwako ni Bora watu wauwawe Ili wewe uishi kwa amani?,mku,..ndu wa mama yako
 
Sawa POT mzalendo
 
Ku.m..a la mama yako,kwa hio kwako ni Bora watu wauwawe Ili wewe uishi kwa amani?,mku,..ndu wa mama yako
****** wa babako ulioutoka kifirwa na walevi wewe mtoto ***** nini acha shobo
 
Namshauri Saa 100 aombe kupumzika sababu za Kiafya.....ushauri wa bure hiyo genovide utaongozaje nchi kwa mauaji hayo?? Hapana jiuzuru tu saa 100 utakumbukwa na historia.....nenda Mama .....utabiri utimiee.....umelikoroga mwenyewe
Tatizo akijiuzuru anaenda jela. Hicho cheo cha urais ndio karata pekee ya kumwezesha kuendelea kubaki uraiani
 
Naupenda uhuru ila kwa hapo tulipofikia bora tuache maana tukiinukisha na watu wakishika siraha tuna miaka zaidi ya 10 ya kuuana
Ili tuendelee kutekwa na kuuwawa.
Mtoto wako anaweza kuchukua simu yako akatuma vitu mtandaoni kwa utoto wake unajikuta wewe au mwanao mnapoteza maisha.
Lazima hii Hali ikomeshwe.
Watu wakamatwe washitakiwe mahakamani na siyo kuwaua hovyo kama panya waharibifu.
 
Sure sasa tufanyaje maana hatuna cha kufanya tukiingia road tunauwawa kama wadudu
 
Namshauri Saa 100 aombe kupumzika sababu za Kiafya.....ushauri wa bure hiyo genovide utaongozaje nchi kwa mauaji hayo?? Hapana jiuzuru tu saa 100 utakumbukwa na historia.....nenda Mama .....utabiri utimiee.....umelikoroga mwenyewe
..atakumbukwa kwa historia ipi, ya kuharibu uchaguzi kisha kuua watu? wala huyu si wa kumuita hayo majina, this s a devil in human face!
 
Hapa ndipo patamu, hapa ndipo penye njia sahihi.
Wahenga waliosema suluhu haiji ila kwa ncha ya upanga waliona mbali, suala la kuchinjana haliepukiki kwani ni wao ndiyo wameanza tukiwachekea watatumaliza kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…