CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kumbuka katika hao 10,000 asilimia kubwa waliuliwa wakiwa mitaani na majumbani kwao, lazima kulipa kisasi kwa damu hizi zisizo na hatia.pata picha watu hawakushika siraha na tumeuawa zaidi ya 10000 na vilema wa kutosha tukishika siraha si itakuwa hatari hawa maccm ni vichaa
..atakumbukwa kwa historia ipi, ya kuharibu uchaguzi kisha kuua watu? wala huyu si wa kumuita hayo majina, this s a devil in human face!
More are coming....Kete zinaendelea kusukumwa kwa akili sana.... We are on the Point of no return
Wewe tushakuambia kipeleke kwa mumeo akipunguzie muwasho,unawashwa sana wewe,bahati mbaya hujui kama hujuiHawawezi zika kwenye makaburi ya halaiki, satellite ni rahisi kutambua,rejea makaburi ya halaiki ya rsf ya sudani huko al fasher
Habari yako ina element nyingi za uwongo
Dunia imenyamaza wapalestina wanauawa tuWatatuuwa hawataweza kutumaliza wote dunia nzima ikiwanyamazia bila kuwawajibisha.
Inategemea na muuwaji ni nani.Dunia imenyamaza wapalestina wanauawa tu
Serikali ya Tanzania itawapa mabepari wanachotaka ili kusalia madarakaniInategemea na muuwaji ni nani.
Israel kajimilikisha dunia.
Superpower countries 2 (USA & Russia) wana watu wao wanaziendesha kwa background.
Uchumi wa dunia unaendeshwa na kumilikiwa na watu wao.
Technologies kubwa muhimu karibu zote kuna watu wao wamewekeza humo.
Serikali ya wamatumbi ina nini au nani wa kuwatisha walimwengu huko ICC?
Charles Tylor aliishiwa almasi za damu za Sierra Leone?Serikali ya Tanzania itawapa mabepari wanachotaka ili kusalia madarakani
Jamani acheni masihara raia wanasilaha gani, ya kumpambana na risasi za moto?Raia tukiwa na silaha ndo itakuwa ngoma draw, Raia wamekufa wengi kwa sababu pia hatuna silaha.
Uhuru lazima udaiwe kwa kumwaga damuJamani acheni masihara raia wanasilaha gani, ya kumpambana na risasi za moto?
Acheni hizo ndoto, mtapata wapi silahaRaia tukiwa na silaha ndo itakuwa ngoma draw, Raia wamekufa wengi kwa sababu pia hatuna silaha.
Ukisikia silaha unaelewa nnAcheni hizo ndoto, mtapata wapi silaha
Yeah, sahihi kabisa!Damn right since massacre na genocide ni the same but zimetofautiana in intent
Genocide inakuwa inalenga specific group wakati massacre inalenga defenceless individuals (mostly citizens)
Katika hao 10,000 wewe haupo, unahisi umestahili sana?pata picha watu hawakushika siraha na tumeuawa zaidi ya 10000 na vilema wa kutosha tukishika siraha si itakuwa hatari hawa maccm ni vichaa
Sema hili swala inapidi lisipuuzwe ili asije kutokea kiongozi mwingine kuua watu hiviKatika hao 10,000 wewe haupo, unahisi umestahili sana?
Wanachojaribu kupigania ni kwamba isije ikatokea wakati mwingine tukauwawa kinyama hivi.