Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Lakini Mkuu huyu Kamanda amkumbuke yele wa Arusha aliyekuwa akitembea na ilani (Chana R.I.P) Nini kilimpata kabla ya mauti kumfika.
 
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai.

Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo zinapaswa kutokuegemea upande wowote katika uchaguzi huu....
This is a disgrace to CCM and its police force. This is a justification that the election will not be fair and free. The country is vulnerable to mass unrest.
 
Anaonekana ni msukuma, pia ni form four failure hata ukipima reasoning capacity
 
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaa kabisa.
Du! Pole sana. Yaani Pole! Huoni?
 
Unaijua Hai wewe? Unawajua watu wa Hai?
 
Chuki za huyu polisi mjinga ndiyo chuki za kila mwananchi wa Hai? Mbona wananchi wamemuzomea? Don't be an idiot.
 
Wewe unaona ni sahihi CCM kulitumia jeshi la polisi kama pedi za kike katika kuficha mauchafu yao ya kugandamiza democrasia hapa nchini?
CCM bila polisi hawawezi we si unaona walivyopoteana majukwaani hawawezi bila msaada wa polisi
 
Yaani mimi siipendi CCM, na natamani waharibu na kuharibinkiwa, lakini pamoja na hayo yule OCD kanikwaza kwa kiwango chake cha kukosa weledi!! Amewharibia sana ccm! Mbowe kamchokoza kidogo tu, kaingia kichwa kichwa! Zero anatakiwa amtumbue kwa kushindwa kuipigania CCM kiueledi!
 
Huyu polisi alipaswa kuvuliwa madaraka Mara moja. Jeshi la polisi limeshaharibiwa sana na siasa. Nawashangaa chadema na wapinzani kutochukua hatua stahiki Mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…