Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Utawala wa kidikteta ni tatizo sana.comments zote hakuna aliempinga, hadi ccm wamenyooshea mikono! sasa hzi ndo siasa nzuri,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawala wa kidikteta ni tatizo sana.comments zote hakuna aliempinga, hadi ccm wamenyooshea mikono! sasa hzi ndo siasa nzuri,
kwa nchi hii soon atapanda cheoAfukuzwe cheo huyo askari.
Hana maadili ya KAZI
sio maoni binafsi bali ni mahaba kwa kiongozi wa ccmHayo ni maoni yake binafsi
leo ataota ndoto za kisulisuliWatu waneshachukua ushahidi. CHADEMA kweli wanatumia akili sana kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka huu!!
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai....
Umekwepa swali la msingi kabisa!Ni sahihi kwa OCD kufanya alichokifanya?FREEMAN MBOWE VS OCD MPINA HAI
Imeonekana Video Fupi inayozunguka ikionyesha Mabishano kati ya Freeman Mbowe na OCD wilaya ya Hai...
Hofu yenu ya nini? Sio muache uwanja uwe sawa kama mna uhakika wa kushinda?Chadema hembu kuweni serious kidogo yaani mnategemea kushinda uchaguzi huu??
Hapa ndio nawaonaga MATAGA ni mapoyoyo... mna mahaba niue mpaka huwa hamuelewi nini hasa kinazungumziwa.... !!!!Kosa lake ni kusema Ukweli, na ukweli siku zote huwa haupendwi!
Mbowe kaambiwa ukweli kuwa hata ajipasue pasue hawezi kumshinda Magufuli [emoji23][emoji23]
Hili Ni liaskari pumbavu sana. Ashushwe cheo mara moja na kuhamishwa kituo. Kauli yake ni sababu tosha ya kukata rufaa mahakamani iwapo Mhe. Mbowe atashindwa UchaguziKatika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai..
shida sio utawala wa dikteta, ila upinzani ni kichefu chefu! mpaka sasa sijui ata lissu anaenda kusmamia nn angepewa nchi, nani anataka raisi wa matusi? Yaani magu utadhan hakuna kampeni maaana anafuraha sana akiwa anaendelea na shuhuli za kiraisi na anatoa tenda kabisa,Utawala wa kidikteta ni tatizo sana.
Kwa sababu ganiAfukuzwe cheo huyo askari.
Hana maadili ya KAZI
Wewe unaona ni sahihi CCM kulitumia jeshi la polisi kama pedi za kike katika kuficha mauchafu yao ya kugandamiza democrasia hapa nchini?