Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Hizo kauli hazipaswi kutolewa na watendaji wa vyombo vya dola hapo OCD kachemka.
 
FREEMAN MBOWE VS OCD MPINA HAI

Imeonekana Video Fupi inayozunguka ikionyesha Mabishano kati ya Freeman Mbowe na OCD wilaya ya Hai.

Ili Kutenda Haki tujiulize na Kujibu maswali machache

1.Je? Freeman Mbowe alipaswa kuwepo pale kwa mujibu wa ratiba ya Tume? Bila shaka hakupaswa ndio maana anaonekana akisema hata Rais akipita anaweza kusimamishwa, kwa maana hyo aliingilia Ratiba na Alivunja kanuni.

2. Mbowe anasikika akimuambia OCD" huyo mnayembeba habebeki' Je? Kwa kiongozi mature na mwenyekiti wa Chama aliyesaini hati ya maadili alipaswa ku-provoke mamlaka inayolinda na Kusimamia mikutano yake?

3.Kitendo cha Mgombea ubunge Mbowe kujilinganisha na Rais badala ya kutii ratiba ambayo polisi wanaisimamia ili kuzuia uvunjifu wa amani ni sahihi?

Kwa vyovyote vile busara ilipaswa na inapaswa kuwa Reciprocal, sio sawa kujadili matamshi ya OCD huku tukijifanya hatuoni muenendo wa matukio yaliyopelekea kauli hiyo na Kupishana huku kutokea.

Kama ambavyo Jeshi la Polisi lina wajibu wake lakini vyama vya siasa vina wajibu mkubwa zaidi wa kutii na kuheshimu Ratiba, kanuni na makubaliano waliyoyaweka hasa katika kipindi hiki cha mpito na Freeman Mbowe hukwepi lawama katika hili.

Nimalizie kwa kusema Hai Vita haitakuwa Lelemama, inaonekana vita Sio nyepesi hata kidogo, Mbowe awekeze kurudisha imani ya Wapiga kura wake na sio confrontation zinazofanya aonekane mwepesi siasani.
 
Sasa Ndio Ukweli Ulitakaa Amwongopeee kwani wewe kwa aAkili yakoo Tangu uzaliwe unahisii Nani anashinda kwa Kishindo
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai....
 
FREEMAN MBOWE VS OCD MPINA HAI

Imeonekana Video Fupi inayozunguka ikionyesha Mabishano kati ya Freeman Mbowe na OCD wilaya ya Hai.

Ili Kutenda Haki tujiulize na Kujibu maswali machache

1.Je?Freeman Mbowe alipaswa kuwepo pale kwa mujibu wa ratiba ya Tume?bila shaka hakupaswa ndio maana anaonekana akisema hata Rais akipita anaweza kusimamishwa, kwa maana hyo aliingilia Ratiba na Alivunja kanunu

2.Mbowe anasikika akimuambia OCD" huyo mnayembeba habebeki' Je? Kwa kiongozi mature na mwenyekiti wa Chama aliyesaini hati ya maadili alipaswa ku-provoke mamlaka inayolinda na Kusimamia mikutano yake?

3.Kitendo cha Mgombea ubunge mbowe kujilinganisha na Rais badala ya kutii ratiba ambayo polisi wanaisimamia ili kuzuia uvunjifu wa amani ni sahihi?

Kwa vyovyote vile busara ilipaswa na inapaswa kuwa Reciprocal, sio sawa kujadili matamshi ya OCD huku tukijifanya hatuoni muenendo wa matukio yaliyopelekea kauli hiyo na Kupishana huki kutokea.

Kama ambavyo Jeshi la Polisi lina wajibu wake lakini vyama vya siasa vina wajibu mkubwa zaidi wa kutii na kuheshimu Ratiba,kanuni na makubaliano waliyoyaweka hasa katika kipindi hiki cha mpito,na Freeman Mbowe hukwepi lawama katika hili.

Nimalizie kwa kusema Hai Vita haitakuwa Lelemama, inaonekana vita Sio nyepesi hata kidogo, Mbowe awekeze kurudisha imani ya Wapiga kura wake na sio controtation zinazofanya aonekane mwepesi siasani.
 
CHADEMA hembu kuweni serious kidogo yaani mnategemea kushinda uchaguzi huu??
 
Chadema hembu kuweni serious kidogo yaani mnategemea kushinda uchaguzi huu?
 
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai..
Hili Ni liaskari pumbavu sana. Ashushwe cheo mara moja na kuhamishwa kituo. Kauli yake ni sababu tosha ya kukata rufaa mahakamani iwapo Mhe. Mbowe atashindwa Uchaguzi
 
Hii nchi Magufuli ameiharibu kabisa imekuwa hovyo hovyo, duh!
 
Utawala wa kidikteta ni tatizo sana.
shida sio utawala wa dikteta, ila upinzani ni kichefu chefu! mpaka sasa sijui ata lissu anaenda kusmamia nn angepewa nchi, nani anataka raisi wa matusi? Yaani magu utadhan hakuna kampeni maaana anafuraha sana akiwa anaendelea na shuhuli za kiraisi na anatoa tenda kabisa,

Huyo dada ingawa ni mpinzani ila anapangilia sana mahitaji ya watanzania, na ningeomba watu wa geita wamchague, ingawa mm ni ccm! ni rahisi tu ivo kupata kura ila hio midomo imeshawaponza , nyie si mna akili kuliko wapiga kura
 
Back
Top Bottom