DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Nov 3, 2022 #1 Ebu Tazama upendo kwa mtu na Kaka yake katika hawa yatima na namna wanavyopitia Magumu. Let love LeAd Mungu awapiganie na waweze Kupata Muangaza wa Maisha Yao.πππ Your browser is not able to display this video.
Ebu Tazama upendo kwa mtu na Kaka yake katika hawa yatima na namna wanavyopitia Magumu. Let love LeAd Mungu awapiganie na waweze Kupata Muangaza wa Maisha Yao.πππ Your browser is not able to display this video.
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,436 Reaction score 7,955 Nov 3, 2022 #2 ni wapi hii! muwe mnatoa maelezo ya kina watu wapambane kusaidia! muhim sana