Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 Kuna mafala tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Raisi,mwaka huu bado natafuta fala ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Raisi wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata. Lowassa na kujiandaa kote September katikati 2015 alianza kuomba michango, Lissu hata pesa za uzinduzi wa kampeni sijui Kama zitakuwepo. Hakuna mtu atakayewekeza kwa mtu ambaye tayari kashafeli.
Mkuu kwani kuzindua kampeni unapika na wali??
 
Nyie jamaa ndo maana mliitwa NYUMBU, hapo tayari mmeshaona Tume ni huru. Hujui mnasetiwa ili mpigwe vizuri, hao wamepewa hayo maelekezo kwasababu maalum. Subiri siku watakayosimamia mabox ya kura ndo utawajua rangi zao halisi. Badala ya kudili na Mambo ya msingi mnakalia upuuzi wa mafuriko na misemo yenu ya kis.enge eti mbeba maono.
Hakuna aliyesema Tume ni huru. Magu kaahidi mwenyewe uchaguzi huru na wa haki. Tunataka ajikaange kwa mafuta yake, mbele ya watanzania na mbele ya dunia. Za mwizi 40 shekhe.

Au ulitaka tususie uchaguzi, ili kina Lipumba washiriki na ionekane upinzani ulikuwepo? Mapambano ynaendelea kwa mbinu mbalimbali
 
Nyie jamaa ndo maana mliitwa NYUMBU, hapo tayari mmeshaona Tume ni huru. Hujui mnasetiwa ili mpigwe vizuri, hao wamepewa hayo maelekezo kwasababu maalum. Subiri siku watakayosimamia mabox ya kura ndo utawajua rangi zao halisi. Badala ya kudili na Mambo ya msingi mnakalia upuuzi wa mafuriko na misemo yenu ya kis.enge eti mbeba maono.

Hawajapewa maelekezo ni mpango wa Mungu huo subiri kampeni zikianza ndo utajuwa nguvu yake
 
Shida ya CCM mlijidanganya mkadhan kununua wabunge ni kununua wanachama. Mbaya Zaid Hao wabunge wamefanya kitu mbaya na wajumbe sasa wamebaki njia panda kusubir huruma ya aliyewanunua
 
Nyie jamaa ndo maana mliitwa NYUMBU, hapo tayari mmeshaona Tume ni huru. Hujui mnasetiwa ili mpigwe vizuri, hao wamepewa hayo maelekezo kwasababu maalum. Subiri siku watakayosimamia mabox ya kura ndo utawajua rangi zao halisi. Badala ya kudili na Mambo ya msingi mnakalia upuuzi wa mafuriko na misemo yenu ya kis.enge eti mbeba maono.
Lakini angaa mmepata ushahidi kuntu sasa kwamba projekti ya Magufuli ya kuua upinzani ifikapo 2020 imefeli vibaya sana. Walionufaika nayo ni wajasariamali wa kisiasa (wabunge na madiwani walionunuliwa kutoka vyama vya upinzani). Upinzani sio usaliti, upinzani sio wabunge au madiwani. Upinzani ni wananchi wenye fikra mbadala wakitafuta jukwaa la kuelezea fikira zao mbadala.

Sasa Magufuli akubali kuwa hawezi kuua upinzani wala hawezi kurejesha Tanzania kwenye mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM. Yeye aendelee kujikita tu kwenye maendeleo ya madaraja, reli, kukarabati meli zilizochakaa (New Victoria, hii ilipaswa kuwekwa makumbusho ya taifa) , na kununua madege.

Wanaokubaliana naye kuwa hayo ndio maendeleo basi waendelee kuunga juhudi mkono. Wanaongalia maendeleo kwa jicho jingine, tutaendelea kumpinga.
 
Nyie jamaa ndo maana mliitwa NYUMBU, hapo tayari mmeshaona Tume ni huru. Hujui mnasetiwa ili mpigwe vizuri, hao wamepewa hayo maelekezo kwasababu maalum. Subiri siku watakayosimamia mabox ya kura ndo utawajua rangi zao halisi. Badala ya kudili na Mambo ya msingi mnakalia upuuzi wa mafuriko na misemo yenu ya kis.enge eti mbeba maono.
Umefichua hisia zako za ndani kumbe unaukubali upinzani, unatetea upande ule ili upate kuishi,
Maandishi yako yanadhibitisha hili
 
Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata...
Kwa hiyo wewe ndio mweka hazina wa Chadema au mhasibu. You're very useless.
 
Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata.

Lowassa na kujiandaa kote September katikati 2015 alianza kuomba michango, Lissu hata pesa za uzinduzi wa kampeni sijui kama zitakuwepo. Hakuna mtu atakayewekeza kwa mtu ambaye tayari kashafeli.
Mkuu upinzani umekuwa ukishinda toka 1995, kinachofanyika nape ametoboa Siri, wakubwa hukutana kupanga matokeo,
Mwaka huu Ni tofauti,

wale wagombea wa mwaka huu sioni mtu wa kupanga matokeo
 
CCM nawaambia magufuli hafikishi kura milioni 5 mwaka huu. Historia anayoenda andika Lissu mwaka huu hadi Dunia itashangaaa !!
 
Back
Top Bottom