Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

Nyie jamaa ndo maana mliitwa NYUMBU, hapo tayari mmeshaona Tume ni huru. Hujui mnasetiwa ili mpigwe vizuri, hao wamepewa hayo maelekezo kwasababu maalum. Subiri siku watakayosimamia mabox ya kura ndo utawajua rangi zao halisi. Badala ya kudili na Mambo ya msingi mnakalia upuuzi wa mafuriko na misemo yenu ya kis.enge eti mbeba maono.
we nani mpaka uwapangie watu cha kuandika
 
Mungu kasimama upande wa LISSU hata wakusanye wapiga manyanga Mungu yuko kwa LISSU TU

Mungu hayuko kwa Lissu tu, acha hizo, Mungu yupo kwa kila mmoja wetu, hata kwako na kwangu, kwa huyu na yule, Mungu yupo.. Ila najua concern yako, mahaba makuu juu ya Lissu yamekufanya uandike hivyo na kukosea.
 
Vitabu 500 kwa mwaka ni sawa na vitabu 42 kwa mwezi, sawa na vitabu 10 kwa wiki. Na wewe unaamini hii story ya kusadikika ya Zitto!??, Hivyo vitabu vina page ngapi mpaka mtu asome vitabu zaidi ya 10 kwa siku 7?, Kumbe ndo maana mnadanganywa kirahisi na wanasiasa.
Umemjibu vizuri sana huyu nyumbu.yani mtu asome vitabu vyote hivyo na majukumu yake yakazi yawe palepale kana sio uongo huo[emoji23]
 
Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata.

Lowassa na kujiandaa kote September katikati 2015 alianza kuomba michango, Lissu hata pesa za uzinduzi wa kampeni sijui kama zitakuwepo. Hakuna mtu atakayewekeza kwa mtu ambaye tayari kashafeli.
Eti pesa inakata! Hivi unadhani sasa hivi ni kama zamani? Kijana asiye ajira miaka mitano toka atoke chuo, mstaafu anayesotea mafao, mkulima asiye furaha au mfanyabiashara aliyefunga biashara kwa kunyanyashwa na TRA pia mtumishi asiyepanda daraja au mshahara hao wote wanasubiri kumuona Diamond au TOT jukwaani ndio kutoa kura?

Hao wote Magufuli hata aruke samasoti jukwaani au acheze kiwanzensa hawawezi kumchagua. Sio kwa sababu Lissu ni kiongozi mzuri sana la hasha, bali kwa sababu Magufuli ni kiongozi mbovu sana kwa nafasi ya urais
 
Ndio hawa waliokuwa wanasema upinzani/CHADEMA imekufa!!!
Vijijini ambako Kuna asilimia 80 ya wananchi kuna Chadema?

Chadema Ina vitawi vichache tu mijini kwenye baadhi tu ya miji Tanzania ndio maana hata wadhamini anaenda kwenye baadhi ya miji
 
Sawa tajiri wa kwanza duniani anayeshinda mitandaoni. Niliwahi kukwambia nyie ndo huwa mkimiliki Brevis au Kluger, na kumiliki nyumba moja Mwanjelwa Mbeya mnaanza kujitangaza matajiri. Narudia hakuna tajiri duniani anayeshinda mitandaoni. Hata mmiliki wa Facebook ni tajiri Ila humkuti Facebook akipost 24/7 Kama wewe humu JF. Kitendo cha kukesha jukwaa la siasa ukiamini Lissu atakuwa Raisi tayari kinakuondolea sifa za kuwa tajiri. Automatically unakuwa mtegemea miujiza. Na hakuna tajiri hata mmoja anayetegemea miujiza.
Ukimiliki gari na nyumba wewe ni tajiri na una amani wewe ni tajiri.
 
Serikali haina haja ya kuwatafutia wapinzani sababu ya kuongea..
 

Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
Mungu alipanga mwisho wa CCM kwa namna ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuelewa kirahisi. Aliamua aje mtu mgeni kwenye chama (Magufuli) ambaye atawanyang'anya chama wakongwe (Makamba, Kinana, Kikwete, Membe nk) na kuingiza watu wake wapya (Bashiru, Makonda, Polepole).

Hawa wapya kwa namna yake watakivuruga chama na misingi yake kwa maagizo yake Mafufuli. Wataleta chuki na maovu kama utekaji (Mo Dewji, Roma ) na uuaaji (Ben Sanane, Azory Gwanda nk).

Halafu watamshambulia mmoja wa viongozi wa upinzani (Lissu) kwa risasi za bunduki ya vita lakini mtu huyo hatokufa. Nchi nzima itashangaa namna mtu huyo alivyoshambuliwa, kunyimwa matibabu, kunyang'anywa mshahara kisha kufukuzwa ubunge.

Wanaposhangaa hayo na kumhurumia ndiyo watataka awe Rais wao wa 2020-25. Mungu ana sababu kwa kila jambo. Mwisho wa CCM ni mwaka huu. Alilopanga Mungu Binadamu hawezi kubadilisha. Hata kama NEC itaiba kura na kumtangaza Maguduli, nguvu ya umma itamtoa tu Ikulu. Wananchi wamechoka maonezi, dhuluma, ukandamizaji, ubaguzi na dharau
 
Mungu alipanga mwisho wa CCM kwa namna ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuelewa kirahisi. Aliamua aje mtu mgeni kwenye chama (Magufuli) ambaye atawanyang'anya chama wakongwe (Makamba, Kinana, Kikwete, Membe nk) na kuingiza watu wake wapya (Bashiru, Makonda, Polepole)....
Huu ni ukweli mchungu kwa asilimia 100.Hongera sana kwa kuona hili.
 
Nyie jamaa ndo maana mliitwa NYUMBU, hapo tayari mmeshaona Tume ni huru. Hujui mnasetiwa ili mpigwe vizuri, hao wamepewa hayo maelekezo kwasababu maalum. Subiri siku watakayosimamia mabox ya kura ndo utawajua rangi zao halisi. Badala ya kudili na Mambo ya msingi mnakalia upuuzi wa mafuriko na misemo yenu ya kis.enge eti mbeba maono.
Hii ni kuonesha kukubalika kwa cdm, na siyo tayari imeshinda
 
Back
Top Bottom