Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

2010 hadi 2015 wenzio walitoa hadi sadaka za shukrani kwa kusema Mungu alimuweka kikwete ccm ili ifie mkononi mwake

Jibu la kilichotokea muulize EL
This time CCM is gone. Hata hao Police na NEC wana ndugu zao upinzani na wanaona wanavyodhulumiwa. Nini JPM bana? Kulikuwa na wababe kama Omar Bashir wa Sudan ambaye alipanga safu zote za Jeshi na Polisi wapambe na ndugu zake ili asipinduliwe.

Lakini mwaka jana mdada wa miaka 21, mwanafunzi wa mwaka wa 2 Chuo Kikuu aliongoza mapambano yaliyowazindua Jeshi na Polisi wakaelewa na wakamtosa Omar Bashir.
 
This time CCM is gone. Hata hao Police na NEC wana ndugu zao upinzani na wanaona wanavyodhulumiwa. Nini JPM bana? Kulikuwa na wababe kama Omar Bashir wa Sudan ambaye alipanga safu zote za Jeshi na Polisi wapambe na ndugu zake ili asipinduliwe. Lakini mwaka jana mdada wa miaka 21, mwanafunzi wa mwaka wa 2 Chuo Kikuu aliongoza mapambano yaliyowazindua Jeshi na Polisi wakaelewa na wakamtosa Omar Bashir.
Emdelea kuota
 
Pole sana kwa maumivu bwashee ila hakuna namna ni yeye yule kaletwa mara ya pili na Mungu ili aje azivunje siasa za kisanii za CCM
Niamini nikisema hivi "2020 Ni mwaka wa kuaibika wanasiasa wasanii hapa TZ"

Huo ni unabii ambao ulianza January 2020,
wataendelea kuaibika milele

CCM ziiiiii!!
Nyie jamaa ndo maana mliitwa NYUMBU, hapo tayari mmeshaona Tume ni huru. Hujui mnasetiwa ili mpigwe vizuri, hao wamepewa hayo maelekezo kwasababu maalum. Subiri siku watakayosimamia mabox ya kura ndo utawajua rangi zao halisi. Badala ya kudili na Mambo ya msingi mnakalia upuuzi wa mafuriko na misemo yenu ya kis.enge eti mbeba maono.
 
Hayo ndio anayotaka Lissu na akidhani wote ni wapiga kura. Wengi, hasa watu wa mijini kama Morogoro wamekuja kushangaa "alivyofufuka baada ya shambulizi "la ndani".
Huu ndiyo ukweli, wanataka kumshuhudia ni yeye, hata mamvi ENL alifikiri watu wanataka kumuona yeye kumbe watu walikuwa wanataka kuona helicopter inavyotua na kuondoka.

Ngumu sana kwa kamba ya manila kupita katika tundu la sindano!

Everyday is Saturday.........................😎
 
Nahisi wanaweza kumnyakua na kisha kumpoza maumivu kwa kumpa uwaziri kama Mwakiwembe. Likewise Dr. Silaha
 
Back
Top Bottom