Hizo ni hoja zako wewe binafsi, sisi wafanyakazi, hizo siyo hoja zetu. Madaraja kazini tunapandishwa kwa hiyo na mishahara tunapata. Ingawa hii mishahara yetu, KAMA ILIVYO MISHAHARA YA WAAJIRIWA WOTE DUNIANI, haiwezi kututoa kwenye shida na taabu zetu kwani haikidhi mahitaji yetu, na hii ni FACT ALL OVER THE WORLD. Mshahara has never ended somebody's destitute! Umeshawahi kusikia hata hao mnao walinganisha na kuwaona kama wana mishahara mizuri, wakiwa kimya kudai nyongeza za mishahara? Fuatilieni mambo huko BBC, ALJAZEERA, RFI na kwingine muone mambo kisha ndio mlete hoja kama hizi. People should encourage one another to indulge in extra income earning entrepreneurial activities badala ya kuambiana haya ya mishahara na kupanda madaraja guys!