Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

Mwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,

Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
Kwa mtu yeyote kushinda Urais kwa udanganyifu au wizi ni uhaini, na ndio maana wanaogopa tume na matokeo kuchunguzwa na waliweka vifungu hivyo wakati wananchi wengi wakiwa wajinga na wengine njaa kali.
 
Tatizo ni katiba mbovu hasa sehemu ya tume ya uchaguzi.
Hiyo hiyo Katiba na hiyo sehemu ya Tume ya Uchaguzi ndiyo ilimpa Zitto miaka kumi Bungeni na ikampa Membe miaka 30 Bungeni na wengine wengi ikwapa Ubunge hata wengine wakawa na magari yenye plate number za KUB! Hivyo hiyo si hoja yao bali ni HOJA YA KUPATIA RUZUKU kutoka kwa mataifa majinga majinga ya nje. Hii ni miradi ya kijamii isyokwisha. Kama huamini, ngoja washindwe kwenye Uchaguzi huu Mkuu, wataibua hoja za kutafutia ruzuku nyingi tu, ikiwa na pamoja na kufungua kesi za uchaguzi huko Mahakamani. Utaniambia wewe tusubiri tu!
 
Tatizo lipo hapa sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
 
Mwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,

Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
[emoji116][emoji116]View attachment 1540660View attachment 1540661View attachment 1540662View attachment 1540663
Mlimwibia ushindi Slaa mkaja kumzawadia ubalozi, hivi mfano ndio angeshawishi nyomi kama iyo kuingia barabarani Polisi wangeweza pambana nao. Watu wanatumia busara muda mwingine halafu mnawaona mataahira. Lissu hawezi ruhusu huo ujinga..
 
Halafu iyo ilikuwa enzi ya Jk ambaye alikuwa fair kidogo, awamu hii m'mewabana sana upinzani wakichomoka kwenye iyo kona mnatoka tena kibabe..
 
Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata.

Lowassa na kujiandaa kote September katikati 2015 alianza kuomba michango, Lissu hata pesa za uzinduzi wa kampeni sijui kama zitakuwepo. Hakuna mtu atakayewekeza kwa mtu ambaye tayari kashafeli.
Lolote linaweza kutokea, bunduki haina macho hao mnao wategemea kuwa wataendelea kuilinda ccm tumechoka, maana hata tukitoka kazini mtaani tunaonekana kama machoko tu. Tunakosa marafiki kisa ccm hata sehemu ya kukopa pesa tuanashindwa sababu ccm. This time BIG NO.
 
Hapa wafanyakazi walikuwa na nyongeza kila mwaka. Watu walikuwa hawafungwi hovyo wala kutukanwa. Watumishi walikuwa hawajadhurumiwa kikatili bila kusikilizwa.
Hayo niliyotaja yataamua uchaguzi huu.
Hizo ni hoja zako wewe binafsi, sisi wafanyakazi, hizo siyo hoja zetu. Madaraja kazini tunapandishwa kwa hiyo na mishahara tunapata. Ingawa hii mishahara yetu, KAMA ILIVYO MISHAHARA YA WAAJIRIWA WOTE DUNIANI, haiwezi kututoa kwenye shida na taabu zetu kwani haikidhi mahitaji yetu, na hii ni FACT ALL OVER THE WORLD. Mshahara has never ended somebody's destitute! Umeshawahi kusikia hata hao mnao walinganisha na kuwaona kama wana mishahara mizuri, wakiwa kimya kudai nyongeza za mishahara? Fuatilieni mambo huko BBC, ALJAZEERA, RFI na kwingine muone mambo kisha ndio mlete hoja kama hizi. People should encourage one another to indulge in extra income earning entrepreneurial activities badala ya kuambiana haya ya mishahara na kupanda madaraja guys!
 
Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata.

Lowassa na kujiandaa kote September katikati 2015 alianza kuomba michango, Lissu hata pesa za uzinduzi wa kampeni sijui kama zitakuwepo. Hakuna mtu atakayewekeza kwa mtu ambaye tayari kashafeli.
Pesa inakata vipi wakati wanachama hawajaanza kuchangia.
 
Usisahau kampeni zenyewe bado, hao wananchi wamejipanga tu barabarani ili wamuone kiongozi wao.Aibu yenu na mchutame tu wajinga nyie!!Eti upinzani umekufa!
Huyo somo limeanza kumkolea.
Walianza na nyimbo kuwa CHADEMA itakufa baada ya kuvunja bunge.
Sasa ana hesabu watu.
Baadae atakuja hesabu USHINDI wa Lissu. Tumuombee uhai.
 
18 Agosti 2020
Arusha, Tanzania

Godbless Lema achukua fomu za ubunge

Godbless Lema leo afika ofisi za Tume mjini Arusha kuchukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Arusha kupitia CHADEMA kuelekea uchaguzi wa October 2020

Baada ya kupewa fomu Godbless amesema jimbo la Arusha kuna kata 25 katika Halmashauri ambapo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 chama cha CHADEMA kilifanikiwa kunyakua kata 24.

Hivyo kwa uchaguzi wa 2020 CHADEMA ina lengo la kunyakua kata zote 25 pamoja na kiti cha ubunge amesema Godbless Lema alipokuwa anaongea na waandishi wa habari. Madiwani wote wa CHADEMA wamepewa semina ya jinsi ya kufanya kampeni nzuri na kistaarabu ili wafanikiwe kuchukua jimbo na Halmashauri anamalizia Godbless Lema.

Source: millard ayo
 
Hizo ni hoja zako wewe binafsi, sisi wafanyakazi, hizo siyo hoja zetu. Madaraja kazini tunapandishwa kwa hiyo na mishahara tunapata. Ingawa hii mishahara yetu, KAMA ILIVYO MISHAHARA YA WAAJIRIWA WOTE DUNIANI, haiwezi kututoa kwenye shida na taabu zetu kwani haikidhi mahitaji yetu, na hii ni FACT ALL OVER THE WORLD. Mshahara has never ended somebody's destitute! Umeshawahi kusikia hata hao mnao walinganisha na kuwaona kama wana mishahara mizuri, wakiwa kimya kudai nyongeza za mishahara? Fuatilieni mambo huko BBC, ALJAZEERA, RFI na kwingine muone mambo kisha ndio mlete hoja kama hizi. People should encourage one another to indulge in extra income earning entrepreneurial activities badala ya kuambiana haya ya mishahara na kupanda madaraja guys!
Nikushukuru kwa kuelewa uzito wa hoja ya mshahara katika kampeni hizi na kuiandalia majawabu ya kuchekesha kiasi hiki.
Mtaafu wa 2020 kupata sawa na aliyestaafu 2015 huku gharama ya bidhaa zikipanda mara mbili au zaidi wewe unaona sawa.
 
Usihangaike na wasiojielewa, hususan huyu kupewa kazi ya kutetea yasiyo na utetezi jinsi yalivyo mbona ni bayana.
 
Back
Top Bottom