Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

Uchaguzi 2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

Sasa mkuu,bila mafuriko utashindaje uchaguzi.Mshindi,tafsri yake Ni kwamba,umekuwa na mafuriko kumpita mpinzani wako(Kama hujaiba Kura au kubebwa kwa mbeleko)
Nlikuwa nakuzibua tu hizo akili kwamba mafuriko si lolote!
 
Sawa tajiri wa kwanza duniani anayeshinda mitandaoni. Niliwahi kukwambia nyie ndo huwa mkimiliki Brevis au Kluger, na kumiliki nyumba moja Mwanjelwa Mbeya mnaanza kujitangaza matajiri.

Narudia hakuna tajiri duniani anayeshinda mitandaoni. Hata mmiliki wa Facebook ni tajiri Ila humkuti Facebook akipost 24/7 Kama wewe humu JF. Kitendo cha kukesha jukwaa la siasa ukiamini Lissu atakuwa Raisi tayari kinakuondolea sifa za kuwa tajiri.

Automatically unakuwa mtegemea miujiza. Na hakuna tajiri hata mmoja anayetegemea miujiza.

Usi krem maisha ...mtu anaweza akawa busy na mitandao we unapambana lakin humfikii na maisha yake hata kidogo...maisha ni siri nzito sana
 
Mungu alipanga mwisho wa CCM kwa namna ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuelewa kirahisi. Aliamua aje mtu mgeni kwenye chama (Magufuli) ambaye atawanyang'anya chama wakongwe (Makamba, Kinana, Kikwete, Membe nk) na kuingiza watu wake wapya (Bashiru, Makonda, Polepole).

Hawa wapya kwa namna yake watakivuruga chama na misingi yake kwa maagizo yake Mafufuli. Wataleta chuki na maovu kama utekaji (Mo Dewji, Roma ) na uuaaji (Ben Sanane, Azory Gwanda nk).

Halafu watamshambulia mmoja wa viongozi wa upinzani (Lissu) kwa risasi za bunduki ya vita lakini mtu huyo hatokufa. Nchi nzima itashangaa namna mtu huyo alivyoshambuliwa, kunyimwa matibabu, kunyang'anywa mshahara kisha kufukuzwa ubunge.

Wanaposhangaa hayo na kumhurumia ndiyo watataka awe Rais wao wa 2020-25. Mungu ana sababu kwa kila jambo. Mwisho wa CCM ni mwaka huu. Alilopanga Mungu Binadamu hawezi kubadilisha. Hata kama NEC itaiba kura na kumtangaza Maguduli, nguvu ya umma itamtoa tu Ikulu. Wananchi wamechoka maonezi, dhuluma, ukandamizaji, ubaguzi na dharau

Lisu ni chaguo la watanzania...wana jf wote😎
 
Narudia hakuna tajiri anayeshinda jukwaa la
Usi krem maisha ...mtu anaweza akawa busy na mitandao we unapambana lakin humfikii na maisha yake hata kidogo...maisha ni siri nzito sana
Hakuna tajiri anayeshinda Jukwaa la Siasa Jamii Forums masaa 24, hata wanasiasa waliopata mafanikio makubwa kiuchumi hawashindi JF jukwaa la siasa wakipost threads za utumbo 24/7 hawapo. Hawa wanaoshinda humu ni wachumia tumbo tu wanaotafuta kutoka kimaisha kupitia Siasa huku wakijaa ushabiki wa vyama. Niliyemjibu ameelewa.
 

Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
Kitendo cha yeye kuzunguka nchini, akifanya mikutano ya hadhara kabla ya kampeni, anajua ni kuvunja sheria ya uchaguzi (2010). Kama alitegemea angezuiwa ili apate pa kutokea, lengo lake limekwama.

Ni kwa sababu hiyo hoja zake si za kuomba udhamini bali kampeni kwa lugha ya uchochezi ili pia lengo la kukamatwa/kuzuiwa litimie. Bahati mbaya hilo halipo badala yake Jeshi la Polisi linahakikisha usalama wake na wananchi.

Je, katika hali hiyo bado ana sababu ya kudai Uchaguzi siyo huru na wa haki? Anapiga ngoma na kuicheza mwenyewe.
 

Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.

1597792750857.png


unaeza kuamini huyu jamaa alishindwa kura na hatimae akarudi ccm, kuna kuku yeye anaropoka tu huko mtaani saaahv
 

Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
Watakuwa wameelewa kusoma a e i o u! mwaka huu Lissu anaua mtu! Ni mpumbavu tu ndiye atasema CHADEMA walikosea kumteua Lissu kuwa mgombea wa kitu cha Rais wa JMT! Hapo kampeni hazijaanza na hatujatema cheche! Mwaka huu Magu mpaka ajambe cheche jukwaani!!
 

Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
Tunalitaka lichama la shetani wa kijani liache kutoa maelekezo kwa jeshi letu la polisi! Polisi ni ndugu zetu, wamechoka kutumikishwa na watawala kwa maslahi ya genge moja la uhalifu la kijani!

Waache polisi wetu wafanye kazi kwa haki, msiwaingilie keng# nyie
 
Mwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,

Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
[emoji116][emoji116]View attachment 1540660View attachment 1540661View attachment 1540662View attachment 1540663

nadhan kuendelea mbele hakutakua na ushindani tena kama sku za zaman, upinzani wenyewe haueleweki, wataka waweke mipasho kwenye katiba, CCM ndo hao kazi kazi kila kukicha, kwahio imebaki tu ccm hakuna namna, hawa praise and worship team wa mbowe wasife moyo, wakaze
 
Back
Top Bottom