Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

Yanini kuumizana hivi??
 
Chakushangaza ni kwamba mahakama inasema haitambui amri ya kufungwa kwa kanisa hilo, waziri wa mambo ya ndani nae anasema kanisa halijafungwa lakini chombo cha polisi kinadai kinatimiza maelekezo kutoka juu.

Wanachokipanda ipo siku kitawavua nguo.
Kwamba Polisi wameamua tu wenyewe kwa utashi wao kwamba wawapige waumini wa dini ya Kikristo dhehebu la Ufufuo na uzima?
Kwanini unadhani
 
Mwenye kanisa lake kaenda kuchukua fomu
 
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…