GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
INAUMIZA MNOO
 
Inatakiwa siku polisi anakula kipondo heavy ili na wao wajifunze
Zile vurugu za uchaguzi miaka ya 2010, askari mmoja na helmet lake si akajikuta yeye ni komando...
Akaruka ukuta na kutoka nje ya jengo la manispaa eti anawafuata raia walipo, kumbe raia wanamlia timing..
Ile amefika tu raia wakampokea, jamaa mmoja akamlamba mtama wa nguvu halafu askari alivyokwenda chini, jamaa akamkanyaga kichwani halafu anawaambia wenzake "hamna mwenye kisu hapo?"... 🤣 🤣

Polisi kusikia habari ya kisu na hivi kakanyagwa chini kama mbuzi inayotaka kuchinjwa... polisi alipambana kuamka alivyopata upenyo alikimbia hio speed utadhani Hussein Bolt..🤣

Hio nilishuhudia kwa macho yangu... Wale Gen Z wa miaka ya 2005 - 2010 walikuwa wamevurugwa haswa..
Nadhani wengi wao sasa ni watu wazima na wengine wana familia... nadhani ndio kizazi cha mwisho ambao walijitambua sana...
 
Wenzako hao braza
PGO hawaijui wapo Kama mikundu
 
wanatakiwa wakae mahali nje hapo hapo ya mahakama! kwani kuna shida gani kama hawaleti fujo
fujo inaletwa na Polisi
 
Hakukuwa na ulazima WOWOTE ule kumpiga mtu vile kama unapiga kitenesi au mpira.

Inasikitisha huzunisha shangaza sanaaa kwenye hii Karne kupiga RAIA mwema kwa kiwango kama kile ALAFU ndio tunajitapa nchii ya AMANI
Police wa Tanzania wajitafakari
 
Polisi ni losers job. Ndiyo maana nikisikia polisi wamepata majanga huwa nafarijika sana, sasa hapo wana tofauti gani na mbwamwitu?
 
Mimi nahisi wangeniulia hapo kabisa ,😅
Hao ni waoga ni basi tu wanakuwa wanakutana na wananchi ambao tumefundishwa utii wenye hofu dhidi ya vyombo vyetu vya usalama.

Pamoja na hivyo bado wao wamekuwa waoga zaidi ndio maana utaona mtu mmoja ambaye un armed anadhibitiwa na polisi 10 wenye silaha.

Hiyo ina maana kwamba itawachukua idadi ya polisi 500,000 kuwadhibiti raia 50,000.
 
Kabisa hata mimi nilishangaa.

Hivi Hamza alipita na polisi wangapi kwenye hilo tukio?
 
Zwazwa kwelikweli,
akitoka hapo kalemaa anasumbua mkewe na wanae kumuhudumia.
Lissu akitoka anakimbilia Belgium.
Wtf hawa wajinga wanawaza eti nafuatilia kesi, we nani?
Huna kazi za kufanya?
Polisi wako kazini hapo, we mpumbavu umeingia kazini kwao wafanyeje?
 
Hatucheki na kima ukiruhusu kima wajikusanye kwa wingi shamban utavuna mabua
Aisee! Siku akili zenu zikiwakaa sawa, hakika mtaishi kwa majuto sana kutokana tu na huu uonevu wenu mnaowafanyia raia wasio na hatia yoyote ilw.
 
Changing people into radical is the latest symptom for the fall of the regime

Kuna baadhi ya watawala mwishoni mwa utawala wao walikuwa wakiwaweka watu kwenye cage za simba wanaliwa wakiwa hai hadharani wasijue kuwa kwa kufanya hivyo walikuwa wakiongeza hasira kubwa kwa raia wao and the rest is history

Waandamizi wa kushauri utawala muda ndo huu wanaweza kufanya kazi yao wakati huu bado hatujachelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…