MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Poleni sana wahanga, mara radi mara mabomu ya Israel
View: https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI
View: https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo yako mkuu ,ila Tambua Mungu aliziumb mbingu yupo tayari kuangamiza dunia nzima kama wataenda kinyume na israel na hilo lipo wazi,haijalishi muisraeli ana haki au la, ma hilo kaagiza kwenye biblia.Mhh, but Free Palestine 🇮🇱!.
Poleni sana wahanga, mara radi mara mabomu ya Israel
View: https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI
Sababu ya kuwa tayari kufa kwa waisrael nini mkuu?. Jamaa wabaguzi hao kuliko mwanadamu yeyote duniani.Even mm nipo tayari kufa kuitetea israeli,
sijanyi kwa ajiri yao,nafanya kwaajiri ya Mungu.Sababu ya kuwa tayari kufa kwa waisrael nini mkuu?. Jamaa wabaguzi hao kuliko mwanadamu yeyote duniani.
Laana za hapo Kenya na Tanzania hatuzioni tupo tunaziona laana za Palestine. Sijawahi kuona Mpalestina wala Muisraeli akiwaonea huruma Wakenya au Watanzania kwenye matatizo yetu acha kuwa brainwashed.
Achana na hadithi za kitaahira zisizo na kichwa wala miguu.Mawazo yako mkuu ,ila Tambua Mungu aliziumb mbingu yupo tayari kuangamiza dunia nzima kama wataenda kinyume na israel na hilo lipo wazi,haijalishi muisraeli ana haki au la, ma hilo kaagiza kwenye biblia.
Even mm nipo tayari kufa kuitetea israeli,
Waarabu kwa ubaguzi wanaongoza hasa kwa migration worker's.Sababu ya kuwa tayari kufa kwa waisrael nini mkuu?. Jamaa wabaguzi hao kuliko mwanadamu yeyote duniani.
Miaka 50 kutoka leo i wish tukutane nje ya mwili nikuulize tena kama unaamini Mungu hayupo???Achana na hadithi za kitaahira zisizo na kichwa wala miguu.
Huyo mungu alishindwa kumuangamiza shetani aje kuiangamiza dunia, kwa uwezo upi alionao?
Achana na hizo ngonjera Mungu hayupo na hajawahi kuwepo.
Sina muda wa ku support Hamas, palestine wala Israel siyo jukumu langu kama mtu mweusi.Hizi sound mngezileta siku ile HAMAS wanashambulia kule, ila mlichekelea, leo mumegeuziwa kibao mnaanza kupapatika kote, mara laana za Kenya na Tanzania....hehehe yaani humu humu tutawapulia mpaka basi.
Mungu ama kitu kinachoitwa mungu wa kwenye biblia ama quran hakipo. Hilo liko wazi.Miaka 50 kutoka leo i wish tukutane nje ya mwili nikuulize tena kama unaamini Mungu hayupo???
I hope tutakutana
Poleni sana wahanga, mara radi mara mabomu ya Israel
View: https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI
Hujaelewa Nini sasa?radio hizo zinazopiga huzioni huko Kwa nduguzo?Wewe hata sijakuelewa kabisa unamaanisha nini.
Msalimie Nyerere.
Tuma salaam huko ukienda kwenye mapambio.Hujaelewa Nini sasa?radio hizo zinazopiga huzioni huko Kwa nduguzo?
Halafu acha ukorofi unavyoniambia nimsalimie Nyerere Ina maana Mimi Niko peponi?
Kwa jinsi Nyerere alivyopambania nchi kutoka Kwa wakoloni iwemo wa Kiarabu,huyu lazima yupo FirdausTuma salaam huko ukienda kwenye mapambio.
Pepo unafikiri unaenda kimchezo mchezo?
Cha ajabu Israel inategemea msaada wa kijeshi kutoka Marekani. Kwa nini Mungu wao hawasaidii?sijanyi kwa ajiri yao,nafanya kwaajiri ya Mungu.
Mfumo wa classes upo pote kwanzia Mbinguni,kuzimu na duniani, mifumo yote inayoendesha dunia na kuzimu ni copyright ya Mbinguni.
Pili jina la israel unajua maana yake alipewa yakobo akimaanisha Mtu aliyeshindana na Mungu.
Na pili Mungu amesema lazima uwe na amani na israel ili uwe na amani naye ,kuhusu matendo yao haikuhusu.Hapo Marekani kafahuru Mtiani huu.
Kitu tusichojua hata dunia nzima tukipigana na israel hatutomuweza na Mungu atakuwa upande wao,alishahaidi hivyo, na havihusiani na matendo yao.
Na hizo ndo sababu