azuie/asizuie mahindi atajua mwenyewe...mie nnachojua yeye ni mpumbav tu!.Ndio amezuia mahindi toka tz et ee?
azuie/asizuie mahindi atajua mwenyewe...mie nnachojua yeye ni mpumbav tu!.Ndio amezuia mahindi toka tz et ee?
Ni babako yule au mamako hajakwambiaga?azuie/asizuie mahindi atajua mwenyewe...mie nnachojua yeye ni mpumbav tu!.
Safisha kwanza nyumba yako kabla hujaona uchafu wa nyumba ya jirani. Wewe hata kuku anakushinda ubongoKwahiyo Kenya ni nchi huru ila sisi ni watawaliwa? Huu upumbavu wenu mtaacha lini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Na kwanini hasa nyie chadema mnajiona wanyonge sana mbele ya wakenya?
Kwanini unajishusha sana mbele ya Wakenya?Safisha kwanza nyumba yako kabla hujaona uchafu wa nyumba ya jirani. Wewe hata kuku anakushinda ubongo
🤣🤣🤣Huyo mtu tumempata mkuu. Inaelekea katoka kwenye hao wachache uliwaongelea.
Che nkapa yeye unamuonea tu sisi tuliokuwa na self interest tunajua yeye wake alikuwa membe ila akashindwa nguvu ya kuamua
Lawama zote ziende kwake. Asingemkubali huyu mtu!Asante mzee JK
Hata ukijipandisha kwa drone, Wakenya wamekuzidi vingi tu. Unaweza Tanzania ikawa na raslimali lakini wakuzidi akili. Angalia kati ya Kenya na Tanzania ni nani mwenye vivutio vingi vya utalii na ni nani mwenye mapato makubwa.Kwanini unajishusha sana mbele ya Wakenya?
Unakosea unapodhani kila mwenye mawazo tofauti na Meko au wafuasi wa Meko ni CHADEMA. Mimi ni CCM na Nina nafasi yangu kwenye Chama ngazi ya Mkoa, Ila suwezi kuburuzwa na mawazo finyu ya Meko. Nchi Ni yetu woteKwahiyo Kenya ni nchi huru ila sisi ni watawaliwa? Huu upumbavu wenu mtaacha lini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Na kwanini hasa nyie chadema mnajiona wanyonge sana mbele ya wakenya?
Asante mzee JK
Ukizingatia alikubali kufanya unafiki kwenye swala la katiba mpya ya wananchi.Lawama zote ziende kwake. Asingemkubali huyu mtu!
Meko ndio nani?Unakosea unapodhani kila mwenye mawazo tofauti na Meko au wafuasi wa Meko ni CHADEMA. Mimi ni CCM na Nina nafasi yangu kwenye Chama ngazi ya Mkoa, Ila suwezi kuburuzwa na mawazo finyu ya Meko. Nchi Ni yetu wote
Sasa si ujiuzulu?Unakosea unapodhani kila mwenye mawazo tofauti na Meko au wafuasi wa Meko ni CHADEMA. Mimi ni CCM na Nina nafasi yangu kwenye Chama ngazi ya Mkoa, Ila suwezi kuburuzwa na mawazo finyu ya Meko. Nchi Ni yetu wote
Ndiyo wewe ?!Meko ndio nani?
Kumbe umekuja mjini juzi? Kama humjui Meko wewe ni mtoto mdogo. Subiri wadogo wenzioMeko ndio nani?
Dogo kakojoe ulale wenzio wameshalalaSasa si ujiuzulu?
. Tena jiuzulu kwa kutangaza hadaharani sababu za kujiuzulu ili tukuona siyo linafiki
Duh!Wewe naye ni ktk hao WAP.umbavu wachache walioko Tanzania. Mbona JK alieleza vizuri tu kuwa uwezekano wa kupata Mpumba.vu huyo wa kuharibu uhusiano na Kenya upo ila ni mdogo sasa hujaelewa nini?!
Haya sasa utajuwa kama nilikuwa najishusha mbele ya Wakenya. Meko amekwenda huko huko Nairobi kutibiwa COVID 19, endelea na upumbavu wakoKwanini unajishusha sana mbele ya Wakenya?