Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Huyu mataputapu wa sasa hivi akikanyaga nchi smart kama vile Kenya au Rwanda lazima apigwe mawe!
Mpumbafu Ni wewe Crimea ambaye hujui kuwa mwaka 2017 tulichoma vifaranga kutoka Kenya. Mpumbafu ni wewe ambaye hujui mwaka 2017 tulitaifisha ng'ombe za Kenya na tukawazuia kuuza maziwa. Mpumbafu ni wewe ambaye huoni UJINGA wa Rais wako na ukamshauri vizuri lakini unatamani kuwakosoa Kenya ambao ni nchi huruKwanini mnakuwa wapumbavu sana?
Hivi Kenya wamechukua hayo maamuzi sababu tuna uhusiano mbaya? Upi? Je Uganda nao wana uhusiano mbaya na Kenya?
Kama hujui kinachoendelea basi wewe ni PUNGUANI. Hatuna namna ya kukusaidia.Kwanini mnakuwa wapumbavu sana?
Hivi Kenya wamechukua hayo maamuzi sababu tuna uhusiano mbaya? Upi? Je Uganda nao wana uhusiano mbaya na Kenya?
mpumbavu ni huyo aliyetabiriwa na JKKwanini mnakuwa wapumbavu sana?
Hivi Kenya wamechukua hayo maamuzi sababu tuna uhusiano mbaya? Upi? Je Uganda nao wana uhusiano mbaya na Kenya?
Hehehehe 🤣Unaandika kama vile umeshikishwa ukuta!
ni mpumbavu mmoja kutoka chatoo
Kikwete bado anastahili lawama, kwa nini akubali kutoa kiongozi miongoni mwa wale wachache?Alisema anayeweza kuharibu uhusiano na Kenya ni mpumbavu, kisha akasema wapumbavu Tanzania ni wachache kwahiyo hilo haliwezi kutokea. Tena akawahakikishia kabisa. Sasa hivi wakimuuliza sijui atajibu kitu gani!
Yaani kuna mtu anataka Uhuru wa Tanzania lakini hathamini Uhuru wa Kenya!! Udikiteta mbaya sana, tumefikia hatua ya kuanza kuwapangia nchi jirani jinsi ya kuendesha serikali zao?Mpumbafu Ni wewe Crimea ambaye hujui kuwa mwaka 2017 tulichoma vifaranga kutoka Kenya. Mpumbafu ni wewe ambaye hujui mwaka 2017 tulitaifisha ng'ombe za Kenya na tukawazuia kuuza maziwa. Mpumbafu ni wewe ambaye huoni UJINGA wa Rais wako na ukamshauri vizuri lakini unatamani kuwakosoa Kenya ambao ni nchi huru
Wewe naye ni ktk hao WAP.umbavu wachache walioko Tanzania. Mbona JK alieleza vizuri tu kuwa uwezekano wa kupata Mpumba.vu huyo wa kuharibu uhusiano na Kenya upo ila ni mdogo sasa hujaelewa nini?!Alisema anayeweza kuharibu uhusiano na Kenya ni mpumbavu, kisha akasema wapumbavu Tanzania ni wachache kwahiyo hilo haliwezi kutokea. Tena akawahakikishia kabisa. Sasa hivi wakimuuliza sijui atajibu kitu gani!
Kwahiyo Kenya ni nchi huru ila sisi ni watawaliwa? Huu upumbavu wenu mtaacha lini?Mpumbafu Ni wewe Crimea ambaye hujui kuwa mwaka 2017 tulichoma vifaranga kutoka Kenya. Mpumbafu ni wewe ambaye hujui mwaka 2017 tulitaifisha ng'ombe za Kenya na tukawazuia kuuza maziwa. Mpumbafu ni wewe ambaye huoni UJINGA wa Rais wako na ukamshauri vizuri lakini unatamani kuwakosoa Kenya ambao ni nchi huru
Sasa uounguani wako wa kuijiona mnyonge mbele ya wakenya unataka wote tuwe hivyo?Kama hujui kinachoendelea basi wewe ni PUNGUANI. Hatuna namna ya kukusaidia.
Kenyata au siyo?mpumbavu ni huyo aliyetabiriwa na JK
Ndio amezuia mahindi toka tz et ee?ni mpumbavu mmoja kutoka chatoo